Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Kijana Baraka Isaya Kapange (23), dereva bajaji mkazi wa mtaa wa Nkuyu Jijini Mbeya amejinyonga jana Februari 9, 2025, ndani kwake baada ya kuliwa pesa kiasi cha shilingi elfu 60 katika mchezo wa kamari na kuacha ujumbe mzito wa kuomba radhi kwa familia, mama yake, mke na mtoto wake.
Chanzo: EATVSAA1
Tafadhali sana cheza kwa kiasi. Cheza kiwango ambacho unaweza kuhimili ukipoteza. Jua niwakati gani wa kuacha kucheza.
Chanzo: EATVSAA1
Tafadhali sana cheza kwa kiasi. Cheza kiwango ambacho unaweza kuhimili ukipoteza. Jua niwakati gani wa kuacha kucheza.