Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
- Thread starter
- #41
Kila mtu nirubani 😅Vijana hawataki kwenye NIT kujifunza urubani 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mtu nirubani 😅Vijana hawataki kwenye NIT kujifunza urubani 😂
Bwana bwana madogo janja hawaelewiVijana hawataki kwenda NIT kujifunza urubani 😂
HahaBwana bwana madogo janja hawaelewi
CHAI.Aisee, kamari inapagawisha sana.
Paranoid Schizophrenia!Kijana Baraka Isaya Kapange (23), dereva bajaji mkazi wa mtaa wa Nkuyu Jijini Mbeya amejinyonga jana Februari 9, 2025, ndani kwake baada ya kuliwa pesa kiasi cha shilingi elfu 60 katika mchezo wa kamari na kuacha ujumbe mzito wa kuomba radhi kwa familia, mama yake, mke na mtoto wake.
Chanzo: EATVSAA1
Tafadhali sana cheza kwa kiasi. Cheza kiwango ambacho unaweza kuhimili ukipoteza. Jua niwakati gani wa kuacha kucheza.
Sema ni Tanzania tu na Africa tusio jali uhai wa mtu.Kijana Baraka Isaya Kapange (23), dereva bajaji mkazi wa mtaa wa Nkuyu Jijini Mbeya amejinyonga jana Februari 9, 2025, ndani kwake baada ya kuliwa pesa kiasi cha shilingi elfu 60 katika mchezo wa kamari na kuacha ujumbe mzito wa kuomba radhi kwa familia, mama yake, mke na mtoto wake.
Chanzo: EATVSAA1
Tafadhali sana cheza kwa kiasi. Cheza kiwango ambacho unaweza kuhimili ukipoteza. Jua niwakati gani wa kuacha kucheza.
Sema ni Tanzania tu na Africa tusio jali uhai wa mtu.
Tunaomba ushahidi wa kiuchunguzi wa kipolisi. Utanabaishe yafuatayo
1. Marehemu alianza lini kucheza kamari
2. Anacheza mara nyingi kiasi gani
3. Anacheza na kina nani, wapi, muda gani?
4. Majibunya kiforensiki( Forensic evaluation)
5. what if the Boy was Killed?
6. Who can confirm kwanba huo Wosia uliandikwa na marehemu?
Halafu lilivyo lipumbavu eti linawaachia na ujumbe kabisa mtunze mwanangu! Ngoja ligongewe mke labda litatia akili! Usikute lina akili kama kale kajamaa ketu hapa JF kenye ID ya Nikifa Mke Wangu Asiolewe!Hii akili ya kujinyonga alitoa wapi na huku ana make na mtoto?
Yaani dogo hata hakufikiria kwamba sasa hao tegemezi wataishije?
Hapana.Sheikh baraka hakujua hii kauli "bet what you can afford to lose "
Jinga kabisa marehemu
Hivi huwa unaamini hizi habari za hivi? Elfu 60 mtu ajiue?60K imempeleka mtu
Na media zetu zinavyozidi kupromote makamariAisee, kamari inapagawisha sana.
Yote yanawezekanaHivi huwa unaamini hizi habari za hivi? Elfu 60 mtu ajiue?
Tukiwaza nje ya box inawezekana hata mtu kanyongwa halafu hayo ya kuacha barua ni njia za kuficha ushahidi tu.
Si kweli; kauwawa, aendesha Bajaji ya milion 5 kisha ajiue kwa 60k?!Kijana Baraka Isaya Kapange (23), dereva bajaji mkazi wa mtaa wa Nkuyu Jijini Mbeya amejinyonga jana Februari 9, 2025, ndani kwake baada ya kuliwa pesa kiasi cha shilingi elfu 60 katika mchezo wa kamari na kuacha ujumbe mzito wa kuomba radhi kwa familia, mama yake, mke na mtoto wake.
Chanzo: EATVSAA1
Tafadhali sana cheza kwa kiasi. Cheza kiwango ambacho unaweza kuhimili ukipoteza. Jua niwakati gani wa kuacha kucheza.