Kijana ajinyonga baada ya kuliwa kwenye kamari

Kama ni kweli sababu ni elf 60, Jamaa mbinafsi sana sasa mtoto anamuachia nani, elf 60 tu kuna kitu nyuma ya pazia.
 
Paranoid Schizophrenia!
 
Sema ni Tanzania tu na Africa tusio jali uhai wa mtu.

Tunaomba ushahidi wa kiuchunguzi wa kipolisi. Utanabaishe yafuatayo

1. Marehemu alianza lini kucheza kamari
2. Anacheza mara nyingi kiasi gani
3. Anacheza na kina nani, wapi, muda gani?
4. Majibunya kiforensiki( Forensic evaluation)
5. what if the Boy was Killed?
6. Who can confirm kwanba huo Wosia uliandikwa na marehemu?
 
Yaani mtoto naye ana mtoto, tatizo lilianzia hapo
 

Bongo hakuna wa kujiuliza hayo maswali!
 
Hii akili ya kujinyonga alitoa wapi na huku ana make na mtoto?

Yaani dogo hata hakufikiria kwamba sasa hao tegemezi wataishije?
Halafu lilivyo lipumbavu eti linawaachia na ujumbe kabisa mtunze mwanangu! Ngoja ligongewe mke labda litatia akili! Usikute lina akili kama kale kajamaa ketu hapa JF kenye ID ya Nikifa Mke Wangu Asiolewe!
 
Huyu janja alikuwa dereva bajaji.
Sasa alivyoona bajaji anaiendesha vizuri hapo mwanjelwa akajiona yeye mwamba ahamie kwenye kurusha ndege kimemramba.
Ushauri wangu ni bora ukachezee mitumbwi ziwani lakini sio ndege, ndege inahitaji Kusomea.
 
Sheikh baraka hakujua hii kauli "bet what you can afford to lose "

Jinga kabisa marehemu
Hapana.

Inawezekana kabisa sababu ya kujinyonga siyo hiyo, au akawa hakujinyonga.

Elfu 60 ni hela ya tray moja tu la token...

Mwendesha bajaji huko mbeya anaweza kuingiza hadi laki moja kwa siku.

Kwa nini ajinyonge kwa kupoteza pesa ambayo kesho yake tu angeingia barabarani na kuipata?

Ni lazima tujiulize maswali mengi, tusifikie hitimisho haraka haraka.
 
60K imempeleka mtu
Hivi huwa unaamini hizi habari za hivi? Elfu 60 mtu ajiue?

Tukiwaza nje ya box inawezekana hata mtu kanyongwa halafu hayo ya kuacha barua ni njia za kuficha ushahidi tu.
 
Si kweli; kauwawa, aendesha Bajaji ya milion 5 kisha ajiue kwa 60k?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…