Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mzee hajitambui! Kakuzaa na mke wa kikristo alafu anakubania usioe Mkristo? Fuata msimamo wako kijana!
Malezi ni msingi muhimu wa mambo mengi, inawezekana chanzo ni malezi.Tukienda mbele ni mtoto ndio kakosea kumjibu baba yake hivo(kama ni kweli),ila tukirudi nyuma baba ndio alikosea kipindi alimwacha mwanae akakosa malezi yake,angemlea poa mtoto asingekuwa na maneno hayo kwa baba yake , hatambui makosa yake maana baba aliacha gape kwenye makuzi ya mtoto, Baba ayapokee
Unachosema ni kweli ila sikio la kufa halisikii dawa, alafu baadae mzee aseme mtoto anamtenga.Ukitaka usiitwe hivyo na mwanao wa kidigitali lea mwenyewe, ukitoroka tu ukamwachia binti wa watu mzigo hilo jina linaweza lisikwepeke.
Noma sanaUnachosema ni kweli ila sikio la kufa halisikii dawa, alafu baadae mzee aseme mtoto anamtenga.