Kijana akataa ushauri wa Baba yake kuhusu kuoa Dini tofauti

Malezi ni msingi muhimu wa mambo mengi, inawezekana chanzo ni malezi.
 
Ukitaka usiitwe hivyo na mwanao wa kidigitali lea mwenyewe, ukitoroka tu ukamwachia binti wa watu mzigo hilo jina linaweza lisikwepeke.
Unachosema ni kweli ila sikio la kufa halisikii dawa, alafu baadae mzee aseme mtoto anamtenga.
 
Reactions: Tsh
Uzuri ni kwamba Kila Mtu atavuna anachopanda...
Ni ujinga Sana kufanyiwa maamuzi na wengine
 
Kama alikutelekeza you owe him nothing whatsoever hata salam tu hastahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…