Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Kijana akifurahia kupata samaki mkubwa kabisa aina ya mkunga.
huyu utakula ukipewa au hupendi samaki aina hii?
huyu utakula ukipewa au hupendi samaki aina hii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye sim😂😂Aloo
Hauli nyoka na kenge?snake fish.??
Huyu na kambale hapana,kama nyoka bora hata kambale sasa.
Yuko wapiKijana akifurahia kupata samaki mkubwa kabisa aina ya mkunga,View attachment 3146160huyu utakula ukipewa au hupendi samaki aina hii?
Kuna waziri alijinasibu kuwa ana akili sana angepelekwa huko akatuchotee umeme uingizwe kwenye grid ya taifaHuyo ndio ""ELECTRIC EEL"" kwa kiswahili anaitwaga "*CHUNUSI"" SAMAKI mwenye uwezo wa kuzalisha UMEME mkubwa Sana.
kumbe huyu ndiyo chunusi mwenyewe.Huyo ndio ""ELECTRIC EEL"" kwa kiswahili anaitwaga "*CHUNUSI"" SAMAKI mwenye uwezo wa kuzalisha UMEME mkubwa Sana.
Na mythology kubwa Sana huku Africa wanamwitaga CHUNUSI mnyonya damu
Hao ma dogo wamewezaje kumkamata huyu ELECTRIC EEL ⚡ ⚡
View attachment 3146168
View attachment 3146170
Hao SAMAKI wameua Sana watu na viumbe wengine wa baharini,mito, mabwawa, maziwa yaan defense mechanism wao hutoa umeme wenye high voltage ⚡ ⚡ yaan Hadi mamba anakufa , binadamu.Kuna waziri alijinasibu kuwa ana akili sana angepelekwa huko akatuchotee umeme uingizwe kwenye grid ya taifa
Hao madogo watakua wamempata labda kwenye matope..kumbe huyu ndiyo chunusi mwenyewe.
Sina elimu wala uhakika kama kuna samaki anaitwa chunusi.kumbe huyu ndiyo chunusi mwenyewe.
Ni story za kutunga zamani huko kijijini kwetu Usari Narumu.Hao SAMAKI wameua Sana watu na viumbe wengine wa baharini,mito, mabwawa, maziwa yaan defense mechanism wao hutoa umeme wenye high voltage ⚡ ⚡ yaan Hadi mamba anakufa , binadamu.
HUJAWAI KUSIKIA HABARI YA CHUNUSI NYONYA DAMU.
Yule jamaa WA equatorial anakula supu yake daily