Kijana akifurahia kupata samaki mkubwa kabisa aina ya mkunga

Kijana akifurahia kupata samaki mkubwa kabisa aina ya mkunga

Sina elimu wala uhakika kama kuna samaki anaitwa chunusi.
utotoni wakati tunajifunza kuogelea, mtoto mwenzetu siku moja alipokuwa anaogelea alifariki mtoni kwa kuzama mtoni, wakasema alivutwa na chunusi.(Kwa imani ni kama mapepo au jini la mtoni hasa mito inayohusishwa na imani za kishirikina)kama matambiko ibada za kishirikina n.k
kwenye baadhi ya vyanzo vya maji maji (water bodies)hata visima tu kuna makazi ya mapepo(NI MOJA YA LANGO LA KUZIMU) pia kuna myth au imani uwepo wa viumbe vya ajabu kama marmaids samaki nusu mtu nusu binadamu samaki mtu ambao hawa nahisi ni mapepo majini.
(KWA IMANI ZA KIROHO)
 
Hao madogo watakua wamempata labda kwenye matope..

Ila ingekua kwenye maji wangepigwa shoti Kali ya umeme na wange poteza Maisha.

Huyu electric eel anaua mpaka MAMBA na ANAPIGA shoti balaa

Ingia YouTube uangalie video zake
Naona anaweza kutoa hadi volt 600 at once kama utani tu.

Halafu kuna mtu anakuja kusema hamna Mungu, nani sasa kaumba maajabu kama hayo
 
Kiswahili fasaha cha eel ni mkunga...

Dhana ya chunusi imekaa kimauza uza zaidi kuliko "shoti ya umeme" ya mkunga...

Huyo ndio ""ELECTRIC EEL"" kwa kiswahili anaitwaga "*CHUNUSI"" SAMAKI mwenye uwezo wa kuzalisha UMEME mkubwa Sana.

Na mythology kubwa Sana huku Africa wanamwitaga CHUNUSI mnyonya damu

Hao ma dogo wamewezaje kumkamata huyu ELECTRIC EEL ⚡ ⚡

View attachment 3146168
View attachment 3146170
 
Hao SAMAKI wameua Sana watu na viumbe wengine wa baharini,mito, mabwawa, maziwa yaan defense mechanism wao hutoa umeme wenye high voltage ⚡ ⚡ yaan Hadi mamba anakufa , binadamu.

HUJAWAI KUSIKIA HABARI YA CHUNUSI NYONYA DAMU.
Nilikua naogopa sana Wala sijawahi kuwaona kule uchagan tunawaita nduwa nilikua nlisikia sehem Kuna ndua sisogei karibu napaona n kama jehanam ya dunian
 
Huyo ndio ""ELECTRIC EEL"" kwa kiswahili anaitwaga "*CHUNUSI"" SAMAKI mwenye uwezo wa kuzalisha UMEME mkubwa Sana.

Na mythology kubwa Sana huku Africa wanamwitaga CHUNUSI mnyonya damu

Hao ma dogo wamewezaje kumkamata huyu ELECTRIC EEL ⚡ ⚡

View attachment 3146168
View attachment 3146170
Mkuu, kwa mantiki hii unataka kusema anapatikana katika vyanzo vyote vya maji? (Water bodies).
 
Back
Top Bottom