Kijana akifurahia kupata samaki mkubwa kabisa aina ya mkunga

Kijana akifurahia kupata samaki mkubwa kabisa aina ya mkunga

Hao madogo watakua wamempata labda kwenye matope..

Ila ingekua kwenye maji wangepigwa shoti Kali ya umeme na wange poteza Maisha.

Huyu electric eel anaua mpaka MAMBA na ANAPIGA shoti balaa

Ingia YouTube uangalie video zake
Electric eel anapatikana mto Amazon, America ya Kusini!, ...!
 
Electric eel anapatikana mto Amazon, America ya Kusini!, ...!
Hii ni notion na inaweza kuwa debatable.
Hata vumbuzi nyingi walisema MTU ALIYE VUMBUA ZIWA VICTORIA NI JOHN SPEKE
WAKASEMA MTU WA KWANZA KUVUMBUA MLIMA KILIMANJARO NI.....

TAFITI ZIKIFANYIKA HAO SPECIES WAPO NA NDIO MAANA HUMU WATU WAMESIMULIA MATUKIO YA ""CHUNUSI"" NI VITU VIMEKUWEPO USISUBIRI MPAKA MZUNGU AJE AVUMBUE..
 
Kwa hiyo wewe uliyesema ni Electric Fish utakuwa ni Waziri wa Samaki?
Kwa Nia njema ukifanya constructive criticism ni vyema kabisaa kutoa ufafanuzi/ kudadavua

Wewe ulipinga na hukutoa ufafanuzi/ maelekezo so inakua vyema zaidi ukiwa unatolea maelekezo ya kina.

All in all,
Tupo pamoja mkuu āœŒļø
 
Back
Top Bottom