Kijana akifurahia kupata samaki mkubwa kabisa aina ya mkunga

Huyo ndio ""ELECTRIC EEL"" kwa kiswahili anaitwaga "*CHUNUSI"" SAMAKI mwenye uwezo wa kuzalisha UMEME mkubwa Sana.

Na mythology kubwa Sana huku Africa wanamwitaga CHUNUSI mnyonya damu

Hao ma dogo wamewezaje kumkamata huyu ELECTRIC EEL ⚡ ⚡


 
Kuna waziri alijinasibu kuwa ana akili sana angepelekwa huko akatuchotee umeme uingizwe kwenye grid ya taifa
Hao SAMAKI wameua Sana watu na viumbe wengine wa baharini,mito, mabwawa, maziwa yaan defense mechanism wao hutoa umeme wenye high voltage ⚡ ⚡ yaan Hadi mamba anakufa , binadamu.

HUJAWAI KUSIKIA HABARI YA CHUNUSI NYONYA DAMU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…