Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Kuna sehemu Hapa nyumbani TANGANYIKA panaitwa PASUA.Ni story za kutunga zamani huko kijijini kwetu Usari Narumu.
utotoni wakati tunajifunza kuogelea, mtoto mwenzetu siku moja alipokuwa anaogelea alifariki mtoni kwa kuzama mtoni, wakasema alivutwa na chunusi.(Kwa imani ni kama mapepo au jini la mtoni hasa mito inayohusishwa na imani za kishirikina)kama matambiko ibada za kishirikina n.kSina elimu wala uhakika kama kuna samaki anaitwa chunusi.
Anateleza kama amepakwa mafuta ya didy!mmh me siwez kumla huyu
Hapana aisee, Bora tule hawa tuliowazoea tuKuleni msiogope, huku kwetu Mkunga wanapatikana kwa wingi mto Kikavu, ni watamu sana, japo wanafanana na nyoka🤣🤣🤣.
Naona anaweza kutoa hadi volt 600 at once kama utani tu.Hao madogo watakua wamempata labda kwenye matope..
Ila ingekua kwenye maji wangepigwa shoti Kali ya umeme na wange poteza Maisha.
Huyu electric eel anaua mpaka MAMBA na ANAPIGA shoti balaa
Ingia YouTube uangalie video zake
Huyo ndio ""ELECTRIC EEL"" kwa kiswahili anaitwaga "*CHUNUSI"" SAMAKI mwenye uwezo wa kuzalisha UMEME mkubwa Sana.
Na mythology kubwa Sana huku Africa wanamwitaga CHUNUSI mnyonya damu
Hao ma dogo wamewezaje kumkamata huyu ELECTRIC EEL ⚡ ⚡
View attachment 3146168
View attachment 3146170
Nilikua naogopa sana Wala sijawahi kuwaona kule uchagan tunawaita nduwa nilikua nlisikia sehem Kuna ndua sisogei karibu napaona n kama jehanam ya dunianHao SAMAKI wameua Sana watu na viumbe wengine wa baharini,mito, mabwawa, maziwa yaan defense mechanism wao hutoa umeme wenye high voltage ⚡ ⚡ yaan Hadi mamba anakufa , binadamu.
HUJAWAI KUSIKIA HABARI YA CHUNUSI NYONYA DAMU.
Kwanini mkuu ulikua unawaogopa what's the reason behind.Nilikua naogopa sana Wala sijawahi kuwaona kule uchagan tunawaita nduwa nilikua nlisikia sehem Kuna ndua sisogei karibu napaona n kama jehanam ya dunian
Nimeipenda hiiYule jamaa WA equatorial anakula supu yake daily
anaitwa 'eel', na ule msemo wake 'as slippery as an eel'Snake fish? Huyu na kambale hapana,kama nyoka bora hata kambale sasa.
Mkuu,Kiswahili fasaha cha eel ni mkunga...
Dhana ya chunusi imekaa kimauza uza zaidi kuliko "shoti ya umeme" ya mkunga...
Kambale ni mtamu sana lkn huyo hapana yuko kama nyoka.Snake fish? Huyu na kambale hapana,kama nyoka bora hata kambale sasa.
Mkuu, akikupiga shoti ndani ya maji ni kifo yaan hata mamba au SAMAKI wakubwa wakitaka kumtafuna anawapiga na shoti ni KIUMBE hatari SANAANaona anaweza kutoa hadi volt 600 at once kama utani tu.
Halafu kuna mtu anakuja kusema hamna Mungu, nani sasa kaumba maajabu kama hayo
Mkuu, kwa mantiki hii unataka kusema anapatikana katika vyanzo vyote vya maji? (Water bodies).Huyo ndio ""ELECTRIC EEL"" kwa kiswahili anaitwaga "*CHUNUSI"" SAMAKI mwenye uwezo wa kuzalisha UMEME mkubwa Sana.
Na mythology kubwa Sana huku Africa wanamwitaga CHUNUSI mnyonya damu
Hao ma dogo wamewezaje kumkamata huyu ELECTRIC EEL ⚡ ⚡
View attachment 3146168
View attachment 3146170
Wapo EEL aina tofauti tofauti na wanapatikana sehemu mbali mbali in different species.Mkuu, kwa mantiki hii unataka kusema anapatikana katika vyanzo vyote vya maji? (Water bodies).
Anekuws mzima huyo fish angedeliver voltz za kuwasha starter ya meli na dogo angeenda kwenye vitabu vya montuaryKijana akifurahia kupata samaki mkubwa kabisa aina ya mkunga.
huyu utakula ukipewa au hupendi samaki aina hii?
View attachment 3146160
🤝🤝Wapo EEL aina tofauti tofauti na wanapatikana sehemu mbali mbali in different species.
Hlf kuna wapuuzi wanasema hakuna munguAnekuws mzima huyo fish angedeliver voltz za kuwasha starter ya meli na dogo angeenda kwenye vitabu vya montuary