upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,078
- 4,504
Nakumbuka mbali sana,disco la mchana mawoso wamevaa masketi yao ya shule afu mwalimu hataki tubambie.hahahaha acha kabisa mkuu!!! Ila walikuwa wanajifanya kuturingia..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakumbuka mbali sana,disco la mchana mawoso wamevaa masketi yao ya shule afu mwalimu hataki tubambie.hahahaha acha kabisa mkuu!!! Ila walikuwa wanajifanya kuturingia..
Mzee Mwinyi msiba huu ingependeza kama atahudhuria au kupeleka rambirambi zake
hahahaha kuna siku wametuletea form one tupu wakubwa wakazira.. dah tuliwamaindi sana aisee!! afu kesho yake wanapita wanaenda milambo! Tukawamwagia maji ya maharage kwa hasira.....hahahahaNakumbuka mbali sana,disco la mchana mawoso wamevaa masketi yao ya shule afu mwalimu hataki tubambie.
Hahahahaaa,hiyo ni dharau.Walambo na tabia yao ya kutuita sie mashemeji..hahahaha kuna siku wametuletea form one tupu wakubwa wakazira.. dah tuliwamaindi sana aisee!! afu kesho yake wanapita wanaenda milambo! Tukawamwagia maji ya maharage kwa hasira.....hahahaha
Basi wewe labda ulikua darasa moja nyuma yake. Maana issue ya kumpiga Masele teke ilivuma sana shule nzima. Mpaka kukawa na bifu la waalimu makafiri na wanafunz waislamu wanaoshinda kule jidi.
Walimu walitaka msikiti ufungwe kabisa, sema bahati nzuri Headmaster Mrisho alikua muislamu ndio ikawa nafuu yao.
Na pia waliokua wanalala kule Jidi wote walikua wanafaulu vizuri tu mfano kina Katuta Ramadhani, Masumbuko Sadiki.
Kumaliza syllabus ndio kulipelekea apigwe sanspaa sijui wewe ulikuaga haupo shule labda. Tena siku hiyo Paredi waliitwa kama wanne na IBRA akiwemo, wakasepeshwa home.
Nachoshangaa pamoja na kumaliza syllabus mapema bado jamaa alipiga division three form six.
Halafu wakati kafika pale form five akawa anawauliza wanafunz waboys eti:
"Hivi na nyie hapa huwa mnasoma huku mna mawazo ya kuwa ma-TO kama Ilboru"
Haya matukio yote yanatokea wewe ulikuaga wapi?? Ulikua unajichimbia chemba za Umuofia pale kwa David Lachman jamaa aliehama kutoka HGL kwenda PCB kisha akatoka na Division Zero form six yenu.
Kumsameue peke yake inatosha hayo mengine ni matakwa ya mtu kwanza kisha msahauMzee Mwinyi msiba huu ingependeza kama atahudhuria au kupeleka rambirambi zake
Alimpiga Masele aka My Boys,hahahaa.Yes ila hill LA kumpiga Masele sikuwah kuliskia pia hakuwah pewa suspension ,kuhusu kumaliza syllabus in kawaida ya Waboizia,,Hao uliowataja aliomaliza nao ni Harod Makambi Nila na Opiyo Tu wengine walikua Nyuma,Bila Shaka utakua ulikua JIRAN pale
Duuu upo vizuri, kumbe yaliendelea nilijua yameishia pale pale aliposamehewa
Duuu upo vizuri, kumbe yaliendelea nilijua yameishia pale pale aliposamehewa
Lah inasikitisha sanaAlifungwa jela nwaka mmoha/miwili
Kutokana namatatizo ya akili hajumaliza adhabu akapelekwa Milembe na baadaye kurudi kitaa
Kutokana na uchizi alisumbua sana kitaani kuna kipindi alikuwa anatembea uchi
Katika kumshtua ili asiendelee na kile kipengele, ila Mzee Mwinyi alitoa macho!?[emoji23]
Idadi ya Watanzania vichaa si unaijua.....Kuna watu walimtetea sana humu JF, Kumbe nao wana matatizo ya akili? [emoji86][emoji86]
Madogo yamejazana hapa jukwaani.
Nimeshangaa, jamaa katupia Uzi fulani kuhusu Sheikh Ponda, dogo fulani kauliza, 'Kwani Sheikh Ponda ndiye nani mkuu?'
Tulisoma wote Umoja Primary School Mabibo
O level kasoma Ilboru
A level kasoma PCM Tabora Boys
Baada ya hapo matatizo yakaanza
Uchizi hauchagui mtu.....Aisee Alikua kichwa Sana huyo jamaa. Inaonekana namba zilikua hazimpi tabu sasa ilikuaje akashindwa kuzidisha na kutoa kwa mzee mwinyi
Kama atajulishwaMzee Mwinyi msiba huu ingependeza kama atahudhuria au kupeleka rambirambi zake