TANZIA Kijana aliyempiga makofi Rais Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

TANZIA Kijana aliyempiga makofi Rais Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

Waungwana

Yule kijana aitwaye Ibrahim Said almaarufu Sultan mkazi wa Mabibo Loyola amefariki dunia asubuhi hii

Marehemu alijipatia umaarufu kutokana na kitendo chake cha kumchapa kibao mzee Mwinyi kwa kitendo cha kuhimiza sijui matumizi ya kondomu ambayo ni kinyume na imani ya Kiislamu

Ndo tunajiandaa kwa mazishi mchana huu
Nafikiri walishskutana sasa huko.

Maisha ni ubatili.
Wema na waovu wote wanakufa
 
Nimeingia you tube kuangalia hilo tukio.kweli mzee mwinyi alikuwa na HEKIMA SANA.
Baada ya tukio aliwaambia "tuendelee tuendelee,tulieni tulieni"
Yaani kila baya linalotafutwa la huyu mzee hakuna...
Alikua mtu safi sana aiseeeee
👏👏👏
 
Waungwana

Yule kijana aitwaye Ibrahim Said almaarufu Sultan mkazi wa Mabibo Loyola amefariki dunia asubuhi hii

Marehemu alijipatia umaarufu kutokana na kitendo chake cha kumchapa kibao mzee Mwinyi kwa kitendo cha kuhimiza sijui matumizi ya kondomu ambayo ni kinyume na imani ya Kiislamu

Ndo tunajiandaa kwa mazishi mchana huu
Title ya kifala sana

Hakumpiga makofi

Ushabiki wa kishoga sana umeuonyesha
 
Back
Top Bottom