Kijana aliyetushia uhai wa Rais Biden auawa


Nimecheka tu basi, ila ndio ukweli mchungu, huku Afrika yaani tu......
 
Vidonda vya kuuliwa kwa jfk bado havijapona japo imepita miaka 50 na point halafu atokee mpuuzi atishie usalama wa rais wa taifa lile . Hakika lazima ageuzwe crippled plaything.
 
Kufika hatua ya kutaka kumdhuru rais ni kuvuka red line jamani. Marekani hawataki tena aibu ya kuuliwa kizembe kwa marais wao. Hivyo walivyofanya ni sahihi.
Aliyekwambia Rais wa Us anauliwa kizembe ni nani ?
Marais wote huwa wanauliwa na watu wao wa karibu wanaofanya nao kazi.
 
Yani ata ivo walimchelewesha..ana sniper rifle,,vazi la kujifichia la ma sniper..na aka declare Utah kuwa maarufu kwa kumtungua Rais...Yani wamefanya ustaarabu uliopitiliza
 
Huyo mtu,alikua na bunduki kabisa na amekua akitishia siyo maramoja.Askari wammtembelea mara ya kwanza,lakini akaendelea.Hata hivyo hakuishia kumtishia Rais tu,bali hata viongozi wengine,ambapo haijawekwa wazi,kama alipovamiwa na FBI,aliriakitije..
Si afadhari hata hao wametoa taarifa dunia nzima inafahamu nini kimemkuta huyo aliyeuawa,tofauti na huku ya kuuana kimya kimya??na kuwaachia ndugu maswali bila majibu juu ya ndugu yao alipo
 
Kumbuka huyu ndiye aliyemtishia Ben Saanane humu, na muda mfupi yakatokea yaliyotokea. Na Kuna mpaka Uzi kumuhusu huyu na watu wamekuwa wakisema ni mshukiwa Namba Moja huyu.

Huyo jamaa hawezi kuepuka kikombe cha Ben Saanane.
 
Wanasiasa wote ni wapumbavu tu. Mnaua binadamu wenzenu kwa sababu tu ya kujilimbikizia madaraka! Halafu na nyinyi mwisho wa siku mnakufa kama hao mlio waua!! Ina faida gani sasa!!!
 
Killing someone; on political, legal or religious basis or otherwise ; is simply helping him or her to pay his/her debt of nature earlier before the due date while waiting for your turn with no one around to help .
Whatever reason that will mark the end of your existence, that reason marks your due day.
 
Hapa tupo Bora tuende tu, atokee mtu atishie uhai wa rais akiwa na silaha uone kama watasubiri hata wapate Hio warrant ya mahakama, usijitoe ufahamu!!!!
Usichanganye mambo basi. mtu akitokea sehemu atishie usalama wa Raisi, tena akiwa na silaha, hakutakuwa na warrant wala nini, atashugulikiwa.

Hatahivyo kuna baadhi ya masharti (sheria na kanuni)ambayo polisi lazima atimize kabla ya kukukamata. Kwa mfano, lazima wawe na sababu za msingi za kuamini mtu ana, yuko karibu au atafanya kosa. Kumtishia Raisi ukiwa na silaha ni kosa na kama ni imminent utashugulikiwa papo hapo.
Sasa ukisema atishie kama alivyotishia huyo mzee, ujue kuna sheria na kanuni vilevile zenye kutoa miongozo hiyo Tanzania.

Mfano utishie usalama wa Raisi humu ndani, ujue vyombo vya Usalama vitatafuta aina ya warrant mahakamani kumlazimu JF atoe taarifa zako! Tanzania sio bora liende!

Sasa basi, huna chochote cha kuback up hayo unayodai.

Hebu toa kisa kimoja tu Tanzania mtu alimtishia Rais usalama wake akakamatwa na kuuwawa. Na hakika huna. Ndio sababu nakwambia usiokote hayo ma movie ya kipropaganda ukaja kudai humu kuwa ni ya kweli.
Itoshe, kila siku Marekani watu wanakamatwa na kuuwawa kama kuku tu bila hizo warrant wala nini, alimradi wewe ni mweusi tu.
 
Chama cha Republican kina watu wapumbavu sana, ni kama magaidi tu. Ni jambo zuri, mtu yeyote hatakiwi kuishi kwa wasiwasi wa kuuawa.
 
Alikuwa anajiandaa kufanya ugaidi.
 
Unakaangawa pumbu[emoji1787][emoji1787]
 
Hujaelezea mazingira aliyouliwa isije ikawa mazingira kama ya Hamza hlf unataka demokrasia itumike
 
Mwambukusi kashikwa jana eti ni mchochez , Tanganyik hatun serekali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…