MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Huyu jamaa nae alizidi, anatishia kuua viongozi, na sio kwa maneno matupu Bali anaonyesha na silaha kabisa tena nzito, walienda kumuhoji mara ya kwanza akawafukuza akawaambia waje na arrest warrant, Biden anaenda ziara uttah, jamaa akapost kua lazima atamuua Biden, fbi wakapata warrant ya kumkamata, kumbuka ana silaha mambo yakaenda ndio sivyo hakutaka kua mpole akauawa
Sasa huku kwetu we post unataka kumuua Samia afu onyesha na silaha, ***** hakuna Cha warrant Wala Nini jioni yake utakua unakaangwa pumbu mpaka maji uyaite MMA
Huwezi linganisha democracy ya huku na Kule hata siku Moja, sema ukivuka mipaka lazima ushughulikiwe
Majuzi kua jamaa lilikua linamfokea Biden linamwambia "you work for me,answer My questions" walinzi wa Biden wakawa wanamtuliza jamaa, jaribu hapa bongo utuletee mrejesho
Nimecheka tu basi, ila ndio ukweli mchungu, huku Afrika yaani tu......