Kijana mmoja anayeitwa Kimario amekutwa na ndoo 6 za kinyesi, chupa sabini za mkojo ndani Arusha, ushirikina watajwa
=====================================
Depression - hali hii humpata mtu yeyote yule kutokana na kuwa na huzuni / majuto muda mwingi kwajili ya matukio ya kijamiii, familia, mahusiano, maamuzi, maisha binafsi, aibu, n.k. yaweza kuwa mtu kutokubaliana na hali yake mfano ugonjwa / ulemavu wa ghafla, kufilisika, kufiwa na mtu muhimu, kuwa blackmailed, n.k.
Inafikia wakati depression inamfanya mtu kujitenga na kujifungia ndani, hataki kukutana na watu, hii inapelekea watu kuanza kukojoa kwenye chupa, wengine waliotafunwa zaidi na depression wanajisaidia kwenye ndoo.
Utamtambuaje mtu mwenye Sonona?

- Kuwa na huzuni muda wote/mwingi
- Kukosa raha
- Kukosa usingizi wa kutosha
- kulala sana na kushindwa kuamka asubuhi
- Kutofikiri vizuri, kichwa kuwa kizito na kujisikia kama hawezi kufikiria chochote cha maana
- Hisia ya kukata tamaa ya maisha
kuwaza/kutaka kujiua - Kujilaumu/kujiona mwenye hatia/makosa
- Kutojiamini
- Kujiona ni mtu wa kushindwa au kufeli katika kila kitu
- Kutojali usafi wa mazingira na mwili wake
- kuanza kujiongelesha akiwa peke yake maneno ya kujichukia
- Kukaa peke yake/kujitenga/kutostahimili usumbufu/kelele hata kidogo