Kijana mmoja anayeitwa Kimario amekutwa na ndoo 6 za kinyesi, chupa sabini za mkojo ndani Arusha, ushirikina watajwa
=====================================
Depression - hali hii humpata mtu yeyote yule kutokana na kuwa na huzuni / majuto muda mwingi kwajili ya matukio ya kijamiii, familia, mahusiano, maamuzi, maisha binafsi, aibu, n.k. yaweza kuwa mtu kutokubaliana na hali yake mfano ugonjwa / ulemavu wa ghafla, kufilisika, kufiwa na mtu muhimu, kuwa blackmailed, n.k.
Inafikia wakati depression inamfanya mtu kujitenga na kujifungia ndani, hataki kukutana na watu, hii inapelekea watu kuanza kukojoa kwenye chupa, wengine waliotafunwa zaidi na depression wanajisaidia kwenye ndoo.
Utamtambuaje mtu mwenye Sonona?
Kuwa na huzuni muda wote/mwingi
Kukosa raha
Kukosa usingizi wa kutosha
kulala sana na kushindwa kuamka asubuhi
Kutofikiri vizuri, kichwa kuwa kizito na kujisikia kama hawezi kufikiria chochote cha maana
Hisia ya kukata tamaa ya maisha
kuwaza/kutaka kujiua
Kujilaumu/kujiona mwenye hatia/makosa
Kutojiamini
Kujiona ni mtu wa kushindwa au kufeli katika kila kitu
Kutojali usafi wa mazingira na mwili wake
kuanza kujiongelesha akiwa peke yake maneno ya kujichukia
Kukaa peke yake/kujitenga/kutostahimili usumbufu/kelele hata kidogo
Kukaa na waste product ndani ni dslili ya matatizo ya afya ya akili.mm mwenyewe nikiingia na malaya ndani akakojoa kwa ndoo yangu ya kuogea huwa sina amani hata nilewe vipi lazima niweke alarm saa kumi na moja na faulisha mkojo chooni kabla wapangaji wezangu hawajaamka.iweje jitu linakaa na mikojo na vinyesi mwezi mzima.
Ni ujinga me nlikua naishi na mshikaji tunapiga kazi moja tunashea geto na tunalewa wote.alichonifanyia kakojoa mkojo kwa chupa ya energy.me naamka na mahengi ova asbh naona chupa ya energy kwa meza nkasema mwamba sababu ni mpenzi wa hicho kinywaji atakua kabakiza wacha nikipige asbh ntamnunulia ingine.kuweka mdomoni test tofauti kumbe kojo nlimaindi na mwamba hata sikumwambia ila nlimaindi mno na skukaa nae poa siku hyo kila akiuliza mbona leo skuelelewi namjibu mapombe ya jana hangover inasumbua.kumbe upuuzi alofanya

Huyo jamaa anahitaji mwanamke ana ugonjwa wa kukosa kujiamini na aibu kali,kuna kipindi nikiwa kijana wa umri 23-26 nakaa chumba cha kupanga wanawake wakikaa koridoni siwezi kupita nikawa nakojoa kwenye chupa (sio kunya) jioni naenda kuzimwaga.
Choo kipo mbali, hamna matatizo ya akili wala ushirikina ni uchafu tu.
Ujue tumetofautiana levels za uchafu/usafi.
Kuna wale watu ni wasafi hadi kero, ni msafi na anataka aonekane msafi na nadhifu, hawa hupenda sana rangi nyeupe.
Kuna wale wa kawaida sio wasafi sana ila wanataka waonekane wasafi sana.
Na kuna wale wachafu wanataka waonekane wasafi, ndo kama huyo mwamba, nje msafi geto lina mavi.
Na hapa ndio tupo wanaume wengi sana, geto linasafishwa mpaka utokee ugeni, kuoga kwa kurukaruka siku, ila geto halikosi spray, mashuka hayafuliwi nk.
Na kuna wale wachafu wachafu kweli na hajali anaonekanaje yeye ni mchafu asilia.