Kiwelesi
New Member
- Mar 3, 2021
- 1
- 1
Karibu ndugu msomaji wa nakara yetu hii fupi, ninayo kuletea kwako wewe pamoja na jamii yote kiujumla hasa vijana ambao wanadhani kitokana na hatua hii ya serikali yetu wanaona kama ni kikwazo cha kutimiza ndoto zao hata malengo yao, na kubaki kulalamika bila kuchukua hatua. kwa muonekano huo naweza tumia lugha nyepesi ya kusema vijana tumelala, hivyo kipitia nakara hii nina matumain makubwa kuwa ntaweza kuamsha kundi kubwa la vijana ambalo linakosa amani hata kukata tamaa kipind hiki na kuweza kuchukua hatua kujikwamua na changamoto hii.
Ni kweli changamoto kubwa kwetu vijana ni kukosekana kwa ajira, ambavyo hata serikali yenyewe imeshindwa kurikabili swala hili, na kama imeweza basi ni kwa 15% tu. na kuacha kundi kubwa la vijana ambao serikari hiyohiyo imemsomesha na ikamuandaa mwanafunzi aje kuwa mwajiliwa na sio kujiajiri ambapo leo imemterekeza mitahani kwa kumshawishi ajiajiri wakati haijamuandaa kwa msingi huo..
Hivyo basi hilo swala linafahamika,kuna msemo unasema"acha inyeshe tuone panapovuja" kama tushapaona panapo vuja hatuna budi kupaziba, nipende kukujuza kijana mwenzangu, siku zote changamoto ni kukabiliananayo hata kuitatua,haijarishi kwa njia ipi lakini isiwe ya uvunjifu wa sheria au amani, na je!! nani akabilianenayo na nani wa kuitatua hata kutokomeza kabisa? ni yule anae umizwa na changamoto hiyo au ni yule asiye athirika na changamoto hiyo? jibu ni yule anaeumia, ambao ni sisi wenyewe vijana kama ni yule anayeumia je! atatumia njia zipi angaliyupo chini? Nimejaribu kuweka njia au hatua ambazo sisi kama taifa tegemezi la kesho tunaweza kuzitumia kama siraha bora kabisa ya kukabiliana na changamoto hii ya ukosefu wa ajira ili tueze fikia pale tunapohitaji kufika.
a)kwa mtu aliyesoma ,kundi hili ndo limekuwa kubwa mitahani na linaendelea Kuongezeka mwaka hadi mwaka.japo ni jambo gumu kidogo mtu mwenyeShahada bado hanashindwa kuwa mbunifu wa nini afanye kuliko kusubiri ajiraSerikalini ambayo imekuwa kama bahati nasibu..nitoe wazo mfano kwa watuWaliosoma masomo ya afya ambao kuna madaktari , wafamasia n.kMe nmewaza kitu ambacho ntahitaji niwashirikishe vijana wa kundi hili kunaBadhi ya maeneo,vijiji,mitaa hapana huduma za afya kabisa.
Nimewaza kamaIngewezekana au Mngeweza kufikiriaKuunda hata kikundi hata cha watu 5. Mnauwezo wa kwenda hata kwaViongozi husika mkapata hata gari ndogo mkaifanya kama gari ya wagonjwaMkaitangaza eneo hilo ikitokea dharula kunamgonjwa mnaitwa. TayariMnagari ya wagonjwa mnaeza mpeleka kituo cha afya huku mkumpa hudumaNdogondogo..hii itakuwa msaada hasa sehemu ambazo vituo vya afya vipoMbali..mtakuwa msaada mkubwa sana kwenye jamii.. na hii itakuwa niFaida ya kukaa na wasomi mitaani. Vivyohivyo hata kwa wanasheria,Tubaki na hii sentensi”changamoto ndio ajira
b)kwa asiyesoma na aliyesoma, huku pia kuna uwanja mkubwa Zaidi. Ni haiitaji uwe na elimu kiasi gani, bali uwezo wako wa kufikiri tu .Kila mazingila au maeneo tuliyopo kuna changamoto nyingi tu ambazoNi kikwazo kwa watu husika wa maeneo hayo..nipende kusema kwambaChangamoto hizo ndo tuzibadiri kuwa ajira. Naeza toa mfano kuna maeneo Yana shida na maji. Maji kwao ni changamoto kabisa. Kijana mbunifuAnaweza andaa tolori au mkokoteni na madumu yake hata 4. Akawa anafataMaji sehemu yanapoptikana na kuleta eneo hilo na kuyauza tayari ushajiajiriNikujua tu mtaani kwako kuna changamoto ipi na utaigeuzaje kuwa ajira?Tumeweza kuona mifano michache ambayo unaweza kujifunza pale linapokuja swala la ubunifu, kubwa Zaidi tunaweza tumia changamoto zilizopo katika jamii tuliyonayo kuzifanya kama faida kwetu.changamoto ni nyingi mfano kuna baadhi ya masoko hayana taa{UMEME} inapofika giza .kijana unaeza tafuta taa za kuanzia hata 10 na betry moja a mbili hata za pikipiki..hizo taa ukawa unakodisha usiku kwa wafanyabiashara hao tayar ushajitengenezea pesa kwa ubunifu wako kupitia changamoto
hiyo ya umeme.
2. Kipaji chako, kabla sijaeleza hii, npende kwa kusema “kijana tumia kipajichako kama mtaji”Tunaposema kipaji ni ule uwezo au ujuzi anaokuwa nao mtu kwa kuzaliwa nao pasipo kwenda shule wala kucopy hata kufunzwa kutoka kwa mtu yeyote au sehemu yeyote, hii pia naweza sema ni zawadi alopewa kila mwadamu kutoka kwa mwenyezi MUNGU, hii inatuamisha kwa wasomaji wa biblia mnaeza nielewa zaid kuwa hii inaonesha wazi kuwa kila mwanadamu alipewa kazi ya kuja kufanya hapa duniani haukuja kuzurula, je wewe umekuja fanya kazi gani hapa duniani? uwezo huo unaeza kuwa labda, mchezaji wa mpira, mwana muziki, mwandishi wa Habari, mtangazaji, hata mwandishi wa vitabu, hivyo ni baadhi ya vipaji ambavyo mtu anaweza kuwa navyo na kuvigeuza kama mitaji, najua bado serikari yetu ina kilema cha kuwatambua watu wenye vipaji lakini hii isiwe sababu kubwa sana kwani mtaji unao wewe mwenyewe..ulemavu tulionao sisi vijana wengi wa kiafrika tunashindwa kujua vipaji vyetu. hivyo basi nikuombe ewe kijana mwenzangu jaribu kukaachini chukua daftari na karamu ,jaribu kujiuliza au kifikiri ni vitu gani au kitu gani unapenda sana kukifanya na huwa ukikifanya unakifanya kwa umalidadi mkubwa sana,,ukivipata vitu hivyo jaribu kufanya utafiti kwa kila kitu ulichokiandika huku ukumuomba mungu akusaidie kutambua kile kitu alichokupa na alichokutuma kuja kukifanya duniani hapa,
nimalize kwa kusema tena kwa msisitizo mkuu’’kipaji chako mtaji wako”
Kwa hizo hoja mbili chache ambazo nimeona ni vyema Zaidi kuwashirikisha vijana na jamii yote, kunamawazo mengi na mazuri Zaidi ya hayo, lakin mimi nimeona nikujuze hayo mawili kama ndo mihimili mikuu na nguzo ambazo sisi kama vijana tunaweza kuziegemea kama msaada kwetu na kuweza kuiinuka na kusimama sisi kama sisi, ikiwa ni mbinu chache za kukabiliana na changamoto kubwa ya wasomi wengi mtaani wasiokuwa na ajira, naweza sema hiki ni kilema cha serikali yetu,.
Haiwezipendeza kama ntashindwa kuwashilikisha njia ambayo nadhani tunaweza kuitumia au ikatumika ili kiweza kutatua changamoto hii ya upungufu wa ajira ikiwezekana hata isiwepo kabisa, napenda kukushirikisha kitu hiki tuone kama intakuwa sahihi pia kutusaidia kama nyenzo.nashindwa ntumie lugha gani nyepesi naimani ntaeleweka

- Ubunifu{creative} na uwajibikaji Itakua ngumu kidogo kufikirika..hapa tunaposema ubunifu ni Sanaa ya kuwaza au kufikiria zaidi na kuvumbua,kuunda ,kutengeneza dhana mpya. Tunaposema ubunifu hii inaenda sambamba na uwajibikaji , huwezi kuwa mbunifu alafu ukashindwa kuwajibika utakuwa ni hakuna kitu umefanya hata unapomwana muza chips, muuza nguo, muuza duka hata muuza duka kwa ujumla, wote hao wamefikiria wakapata mbinu kwa ubunifu wao kisha wakawajibika ndo hadi leo wapo hapo tunaweza sema wanatoa huduama kwa jamii ilo wazunguka, hata muuza chips alibuni akafikiri sehemu frani wanapata shida chakula kwahiyo akafikiria afanye nini wale watu wapate kula angalau kwa kidogo watachokuwa nacho kapata wazo la kuwatengenezea chips, hilo wazo la kuuza chips na jinsi ya chips yake itavyokuwa tayari hapoi amebunni kinacho baki ni kuwajibika , ambapo ni kuanza kulitendea kazi wazo hilo ni Pamoja na kuanza kuwauzia watu wale chips zake, hivyo basi nipende kuwahimiza na kuwaaminisha kwamba huezi fanya kitu bila kuwajibika, sawa wewe unaweza kuwa mbunifu labda umefikiria njia nzuri ya kupata mafanikio sawa lakini bila kuwajibika ni bure, pia niweze kusema kwamba kuwa mbunifu haibagua umesoma na hujasoma haijarishi umesomea nini, ningependa kufafanua kama ifuatavyo .
a)kwa mtu aliyesoma ,kundi hili ndo limekuwa kubwa mitahani na linaendelea Kuongezeka mwaka hadi mwaka.japo ni jambo gumu kidogo mtu mwenyeShahada bado hanashindwa kuwa mbunifu wa nini afanye kuliko kusubiri ajiraSerikalini ambayo imekuwa kama bahati nasibu..nitoe wazo mfano kwa watuWaliosoma masomo ya afya ambao kuna madaktari , wafamasia n.kMe nmewaza kitu ambacho ntahitaji niwashirikishe vijana wa kundi hili kunaBadhi ya maeneo,vijiji,mitaa hapana huduma za afya kabisa.
Nimewaza kamaIngewezekana au Mngeweza kufikiriaKuunda hata kikundi hata cha watu 5. Mnauwezo wa kwenda hata kwaViongozi husika mkapata hata gari ndogo mkaifanya kama gari ya wagonjwaMkaitangaza eneo hilo ikitokea dharula kunamgonjwa mnaitwa. TayariMnagari ya wagonjwa mnaeza mpeleka kituo cha afya huku mkumpa hudumaNdogondogo..hii itakuwa msaada hasa sehemu ambazo vituo vya afya vipoMbali..mtakuwa msaada mkubwa sana kwenye jamii.. na hii itakuwa niFaida ya kukaa na wasomi mitaani. Vivyohivyo hata kwa wanasheria,Tubaki na hii sentensi”changamoto ndio ajira
b)kwa asiyesoma na aliyesoma, huku pia kuna uwanja mkubwa Zaidi. Ni haiitaji uwe na elimu kiasi gani, bali uwezo wako wa kufikiri tu .Kila mazingila au maeneo tuliyopo kuna changamoto nyingi tu ambazoNi kikwazo kwa watu husika wa maeneo hayo..nipende kusema kwambaChangamoto hizo ndo tuzibadiri kuwa ajira. Naeza toa mfano kuna maeneo Yana shida na maji. Maji kwao ni changamoto kabisa. Kijana mbunifuAnaweza andaa tolori au mkokoteni na madumu yake hata 4. Akawa anafataMaji sehemu yanapoptikana na kuleta eneo hilo na kuyauza tayari ushajiajiriNikujua tu mtaani kwako kuna changamoto ipi na utaigeuzaje kuwa ajira?Tumeweza kuona mifano michache ambayo unaweza kujifunza pale linapokuja swala la ubunifu, kubwa Zaidi tunaweza tumia changamoto zilizopo katika jamii tuliyonayo kuzifanya kama faida kwetu.changamoto ni nyingi mfano kuna baadhi ya masoko hayana taa{UMEME} inapofika giza .kijana unaeza tafuta taa za kuanzia hata 10 na betry moja a mbili hata za pikipiki..hizo taa ukawa unakodisha usiku kwa wafanyabiashara hao tayar ushajitengenezea pesa kwa ubunifu wako kupitia changamoto
hiyo ya umeme.
2. Kipaji chako, kabla sijaeleza hii, npende kwa kusema “kijana tumia kipajichako kama mtaji”Tunaposema kipaji ni ule uwezo au ujuzi anaokuwa nao mtu kwa kuzaliwa nao pasipo kwenda shule wala kucopy hata kufunzwa kutoka kwa mtu yeyote au sehemu yeyote, hii pia naweza sema ni zawadi alopewa kila mwadamu kutoka kwa mwenyezi MUNGU, hii inatuamisha kwa wasomaji wa biblia mnaeza nielewa zaid kuwa hii inaonesha wazi kuwa kila mwanadamu alipewa kazi ya kuja kufanya hapa duniani haukuja kuzurula, je wewe umekuja fanya kazi gani hapa duniani? uwezo huo unaeza kuwa labda, mchezaji wa mpira, mwana muziki, mwandishi wa Habari, mtangazaji, hata mwandishi wa vitabu, hivyo ni baadhi ya vipaji ambavyo mtu anaweza kuwa navyo na kuvigeuza kama mitaji, najua bado serikari yetu ina kilema cha kuwatambua watu wenye vipaji lakini hii isiwe sababu kubwa sana kwani mtaji unao wewe mwenyewe..ulemavu tulionao sisi vijana wengi wa kiafrika tunashindwa kujua vipaji vyetu. hivyo basi nikuombe ewe kijana mwenzangu jaribu kukaachini chukua daftari na karamu ,jaribu kujiuliza au kifikiri ni vitu gani au kitu gani unapenda sana kukifanya na huwa ukikifanya unakifanya kwa umalidadi mkubwa sana,,ukivipata vitu hivyo jaribu kufanya utafiti kwa kila kitu ulichokiandika huku ukumuomba mungu akusaidie kutambua kile kitu alichokupa na alichokutuma kuja kukifanya duniani hapa,
nimalize kwa kusema tena kwa msisitizo mkuu’’kipaji chako mtaji wako”
Kwa hizo hoja mbili chache ambazo nimeona ni vyema Zaidi kuwashirikisha vijana na jamii yote, kunamawazo mengi na mazuri Zaidi ya hayo, lakin mimi nimeona nikujuze hayo mawili kama ndo mihimili mikuu na nguzo ambazo sisi kama vijana tunaweza kuziegemea kama msaada kwetu na kuweza kuiinuka na kusimama sisi kama sisi, ikiwa ni mbinu chache za kukabiliana na changamoto kubwa ya wasomi wengi mtaani wasiokuwa na ajira, naweza sema hiki ni kilema cha serikali yetu,.
Haiwezipendeza kama ntashindwa kuwashilikisha njia ambayo nadhani tunaweza kuitumia au ikatumika ili kiweza kutatua changamoto hii ya upungufu wa ajira ikiwezekana hata isiwepo kabisa, napenda kukushirikisha kitu hiki tuone kama intakuwa sahihi pia kutusaidia kama nyenzo.nashindwa ntumie lugha gani nyepesi naimani ntaeleweka
- Siasa nimeona ntumie lugha hii au neno hili, nikiamin kwamba siasa pia ni njia mojawapo itayosaidia kuponesha kilema hiki tulicho nacho., wengi tumeaminishwa kwamba siasa ni mchezo mchafu kutokana na Maisha tunayo yashuhudia wanayoishi wanasiasa, siasa ndo mlango wa pekee ulobaki kuutumia kuongea kupaza sauti iweza kukupatia kitu ambacho utaona kwako hakina maumivu lakin tukiwachia wenyewe ndo matokeo yake hayo ,nijiweke wazi siasa inayozungumziwa hapa sio ile mnayoifanya au wanayoifanya ionekane ni mchezo mchafu.niweze kuwafahamisha kuwa hata swala hili la upungufu wa ajira pia ni siasa hata era unayo nunulia kibiliti hata sigara na vocha na vitu vingine vingi pia hiyo ni siasa..hivyo basi kupitia siasa hiyo ningeomba vijana tume mstari wa mbele kufatilia hata kupigia kelele hata kulaani vitu vyote vinavyojadiliwa na siasa yetu maana bila siasa hakuna serikali niombe na sisi vijana tuwe ni moja ya sehemu katika siasa yetu..tusibaki kuwaangalia wanasiasa na wanaharakati mbalimbali ambao wamekua pia ni wanasiasa pia ambao wameweza kutusemea maumivu yetu ilihali sisi wahanga tumebaki kujifungungia kwa kudhani siasa haina msaada wowote kwetu.
Upvote
1