Kijana Anatafuta kazi /Kibarua kwa Sasa yupo Dar (DSM)

Kijana Anatafuta kazi /Kibarua kwa Sasa yupo Dar (DSM)

Joined
Dec 11, 2024
Posts
94
Reaction score
240
Kijana anatafuta Kazi au kibarua Kwa sasa yupo Dar es salaam.

Sifa zake hizi hapa
Umri miaka 20
Jinsia ME

Aina ya Kazi .

Kazi Kama za jikoni anaweza kufanya mfano katika pub n.k

Kazi Kama kulinda na kusimamia Nyumba .

Na Kazi nyingine zote Kama kukaa dukani , kuwa PA wa mtu personal assistant n.k


Waweza kumpata Kwa namba zifuatazo.


Majina Anaitwa JUSTON KAIZA

0747110143

Update

Amepata tayari Kazi Kijana na yupo kazini 🙏🏽.
 
Back
Top Bottom