Kijana asemeshwa na koti aliloiba kwa Mzee Sumbawanga. Napendekeza huyo Mzee achukuliwe kisirisiri na serikali kusaidia baadhi ya Mambo yenye utata

Lucas Mwashambwa, haya mambo hayapendwi kabisa na chama chenu cha majambazi. Huyo mama yenu na mwenzake Waziri watajikuta wanatakiwa kunya mafenesi waliyoiba
 
Ccm mna akili za kilozi sana, Sasa mnatoka kwenye uchawa mnahamia kwenye uchawi hiyo ndo sifa ya kuwa kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…