Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #21
LUMUMBA siyo Wilaya😀😀We mzee mwasha mbwa hujapata hat ukuu wa wilaya hapo lumumba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LUMUMBA siyo Wilaya😀😀We mzee mwasha mbwa hujapata hat ukuu wa wilaya hapo lumumba?
October tunatimiza tu wajibu maana tayari tulishashinda kwa kishindoo katika mioyo ya watanzania.Luka mchukueni akawasaidieni kupata ushindi pale october vinginevyo mmeshaa gukia pua hadi hivi sasa.
Ila kijiwe chako siyo?LUMUMBA siyo Wilaya😀😀
Umesamehewa dhambi zako bure kabisa.Amani ya Bwana iwe pamoja naweSijawai comment kwenye thread yako leo nacomment kwakusema wewe mchawi
Kijiwe changu ni shambani huko nyanda za juu kusiniIla kijiwe chako siyo?
Acha uongo na uzushi hapa 😀😀.yaani ma CHADEMA mnapenda sana uzushi na uongoAiseee!!! Au ndio maana Makonda alikuwa anamkusanyia jiwe Waganga!
Acha dharau zako hapa weweHizi ndo akili za wafuasi wa Ccm
Pale Mbeya,ila sasa mbona umekuwa ukionwa sana koridi za Limumba hasa misimu ya chaguzi iwe ya jirani ama yenu?Kijiwe changu ni shambani huko nyanda za juu kusini
Sipo LUMUMBA Mimi. Ila LUMUMBA ipo Moyoni Mwangu.Pale Mbeya,ila sasa mbona umekuwa ukionwa sana koridi za Limumba hasa misimu ya chaguzi iwe ya jirani ama yenu?
Acha dharau zako hapa wewe
Lucas Mwashambwa, haya mambo hayapendwi kabisa na chama chenu cha majambazi. Huyo mama yenu na mwenzake Waziri watajikuta wanatakiwa kunya mafenesi waliyoibaNdugu zangu Watanzania,
Hii Nchi yetu ina kila aina ya sayansi na wana sayansi. Huko Mkoani Rukwa wilaya ya Sumbawanga kumejitokeza jambo ambalo limenigusa sana .
Embu Soma habari hii👎View attachment 3233717
Huyu mtu alitakiwa achukuliwe kisirisiri na kupewa kila huduma anayohitaji ili awe maalumu kusaidia baadhi ya mambo mazito mazito😀😀.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwani sifa za kupata uteuzi ni zipi ewe ndugu yangu mtanzania uliyejaa msongo wa mawazoFinally nimeamini we jamaa ni mshamba, ndio maana hupati teuzi yeyote.
Ccm mna akili za kilozi sana, Sasa mnatoka kwenye uchawa mnahamia kwenye uchawi hiyo ndo sifa ya kuwa kiongoziNdugu zangu Watanzania,
Hii Nchi yetu ina kila aina ya sayansi na wana sayansi. Huko Mkoani Rukwa wilaya ya Sumbawanga kumejitokeza jambo ambalo limenigusa sana .
Embu Soma habari hii👎View attachment 3233717
Huyu mtu alitakiwa achukuliwe kisirisiri na kupewa kila huduma anayohitaji ili awe maalumu kusaidia baadhi ya mambo mazito mazito😀😀.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Uwe na adabu kwa viongozi wetu.Lucas Mwashambwa, haya mambo hayapendwi kabisa na chama chenu cha majambazi. Huyo mama yenu na mwenzake Waziri watajikuta wanatakiwa kunya mafenesi waliyoiba
Sasa binadamu bila msongo wa mawazo si ni mfu? Kwahiyo wewe ni mfu huna msongo wa mawazo, Au huelewi na hufahamu kiswahili.Kwani sifa za kupata uteuzi ni zipi ewe ndugu yangu mtanzania uliyejaa msongo wa mawazo
Viongozi wenu ni mahayawani watekaji, wauaji, watesaji na wamekosa kabisa sifa za utu na za uongoziUwe na adabu kwa viongozi wetu.