Kijana atoa ushuhuda na kusema hatoikaribia Betting tena

Qur an ishakataza huu upuuzi vile watu wabishi tu...

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنَّمَا الْخَمْرُ وَالْمَيْسِرُ وَالْأَنصَابُ وَالْأَزْلَامُ رِجْسٌ مِّنْ عَمَلِ الشَّيْطَانِ فَاجْتَنِبُوهُ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ

[ AL - MAIDA - 90 ]
Enyi mlio amini! Bila ya shaka ulevi, na kamari, na kuabudu masanamu, na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi ya Shet'ani. Basi jiepusheni navyo, ili mpate kufanikiwa...p
 
Si rahisi kuelekeza ktk beating Kwa miaka 10 Kisha uache Kwa siku Moja.

Inahitaji msaada na Kupata company na watu wa kitofauti Ili kuacha TABIA huyo completely.

Njoo Kwa Yesu. Amen
 
Na hiyo ya timu moja kuchana mkeka ndio inawadanganya wengi zaidi, kila siku utakuwa unachaniwa mkeka na timu moja tu.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…