Kijana atumia hela ya kodi kuchora Tatoo ya Wema. Sasa hivi familia yake inalala nje

Kijana atumia hela ya kodi kuchora Tatoo ya Wema. Sasa hivi familia yake inalala nje

Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Papamafido ametumia kodi ya nyumba na kulazimika kulala nje baada ya pesa hiyo kwenda kuchorea ‘TATTOO’ ya Wema Sepetu.

Akizungumza na Bongo5, Papamafido amesema kuwa amelazimika kulala nje Miezi baada ya pesa za kodi kwenda kuchora ‘Tattoo’ ya Msanii wa filamu na Miss Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu huku kijana huyo akionyesha mapenzi yake kwa mwanadada huyo.

Papamafido ambaye hapo jana alibahatika kuonana uso kwa uso na Wema, alishindwa kuzuia hisia zake na kuvua shati lake alilovaa kisha kumuonyesha Wema Sepetu ‘Tattoo’ kubwa yenye sura yake aliyoichora nyuma ya mgongo na kumuacha Msanii huyo akishika mdomo pasipo kuamini mapenzi makubwa aliyoonyesha kijana huyo.

Mbali na kujichora huko ‘Tattoo’ iliyopelekea hadi baadhi ya ndugu zake kumtenga huku marafiki zake wa karibu kumcheka, lakini pia alikuwa na michoro mingine ambayo amemchora Wema Sepetu katika vibao na kumkabidhi.

Source: Bongo 5.View attachment 1442404
IMG_20200507_103605.jpg
 
finally ndoto zake mwanangu zimetimia kuonana live na Sepede, ngoja nimvutie ng'ora kumpongeza
 
Siku nikiwa namba moja wenu, tegemeeni haya:
Elimu ya msingi mwisho form 4
Ukifeli form 4 unaenda gereza la kilimo mwaka mmoja,
Ukirudi unapewa nafasi ya kurisiti,
Ukizingua tunakuhamishia gereza la kupasua mawe miaka miwili,
Ukirudi unapewa nafasi ya kurisiti,
Ukizingua tunakuhamishia gereza la kupasua mbao miaka mitatu,
Ukirudi unapewa nafasi ya kurisiti, ukizingua, mzunguko wa gereza unaanza upya, inshort hutoki. Maana ujinga ni mzigo kwa taifa.
 
Ukute hujafika hata 4m2 ndo maana una hasira... Vipi haukufikisha wastan ata wa C?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukute hujafika hata 4m2 ndo maana una hasira... Vipi haukufikisha wastan ata wa C?

Sent using Jamii Forums mobile app
We chukulia utani tu, nikiwa namba moja wenu, ukiacha shule, ni jela tu. Haijalishi umeachia wapi, hata iwe six, jela. Lazima kila mtu awe na professional yake, hata kama ni kuimba bongo fleva, lazima uwe na cheti.
 
Nan kakwambia kila mtu anaeza elimu...?

Elimu ngumu Arif ndo maana ukiwa na elimu alaf uwe maskini, Wengine we do things from passion and Talent tunabaki kukwangalia ulichokuwa unapambana na vitini ni kipi hasa

Hicho unachofanya kwa passion, ukiongeza na cheti cha chuo husika, utakifanya vizuri zaidi, hata kama ni kuuza mihogo ya kukaanga, utafanya kwa ubunifu wa hali ya juu.
 
Back
Top Bottom