Tetesi: Kijana aua askari wa JW/kunduchi

Magufuli alifanikiwa kuwamaliza Panya road daresalam wale panyariad walikuwa hatari waliwahi nijeruhi kwa kunikata panga kichwani asisee mpaka leo nina alama

Magufuli alifanikiwa kukomesha yale magaidi ya KIBITI ilikuwa hatari kuke kibiti..
Acheni kumpa promo Jiwe .
Uongozi wa Samia ndio uliwafuta panya road 2022.
Sema tu uovu hauishi katika jamii
 
Magufuli alifanikiwa kuwamaliza Panya road daresalam wale panyariad walikuwa hatari waliwahi nijeruhi kwa kunikata panga kichwani asisee mpaka leo nina alama

Magufuli alifanikiwa kukomesha yale magaidi ya KIBITI ilikuwa hatari kuke kibiti..
Yaani upigwe panga la kichwa halafu leo una comment hapa au ulivaa helment nini jamaa yetu
 
Kwa nini jamaa amdhulum hela yake ya bange..
 
WAPO WATU AMBAO KIMSINGI HAWAFAI KUWEPO KWENYE JAMII YA KISTAARABU,KWENYE NCHI NYINGINE,HUSHIKILIWA JELA MPAKA MWISHO WA MAISHA YAO!..MAANA NI HATARI SANA NA HAWAFAI. (RED SPOT PRISONER)
 
Hii habari imeegemea upande mmoja,upande wa pili utakuta huyo mwanajeshi ndio kaanzisha ugomvi.
Sasa hivi watu hawana muda wa kupoteza kuanza kupigana ngumi,utapigwa tofali au kuchomwa na kitu chenye ncha kali na mchezo unakuwa umeishia hapo.
 
Wadogo wanajichukulia sheria mkononi ila askari hawana mbinu za kupigana ila wanapenda kutumia nguo kuonyesha ubabe nilipokua chalii nilikutana na kisanga kimoja mbalizi nilienda hotel moja nikapaki gari nikawa nakula ndani mara akaja mdada mmoja nikiwa nakula akaniomba nitoe ile gari pale ni parking ya mwanajeshi nikawaambia namaliza kula naondoka apaki sehemu ingine nikitoka ntatoa gari..
Akaenda kuwajibu hivyo jamaa mmoja MP na mwingine anaonekana alikua ofisa wa jeshi walikua wawili eti yule Mp anamwambia tumpeleke kikosini huyu anakataa amri ya jeshi..
Niliwajibu hakuna wa kunitoa hapa na nikila pia sitoki na sitoi gari nilikua na mbavu na mazoezi ya kwenye Meli wakaona kidali wakaondoka wao sasa mwingine ukimletea huo ujinga anakuua na nguo zako za jeshi kwa mambo ya kijinga tu..
 
ASilimia kubwa polisi na wanajeshi wamejaa failure, reasoning capacity yao ipo chini mno wao wanajua kutumia mabavu wanajiona wapo juu ya sheria.
Sasa wakae waelewe watu mtaani raia wamechoka,huo upuuzi wao wapeleke kwa familia zao.
Hawa jamaa wana ushamba mwingi sana
 
Walivyo wajinga wanaweza kugombea mwanamke na wanafikia level ya kuuana jamaa wapuuzi sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…