wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Ameenda kucheza kombolela na ukuti ukuti.Kijana nampa pooe sana kwa hili janga lililomkuta. Namuombea apate nafuu mapema
Najiuliza, kijana wa miaka 27 anafanya nini kwao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameenda kucheza kombolela na ukuti ukuti.Kijana nampa pooe sana kwa hili janga lililomkuta. Namuombea apate nafuu mapema
Najiuliza, kijana wa miaka 27 anafanya nini kwao?
Unamaanisha kuku dagaa wa ulaya?Ingekuwa kuku angemuua kabisa
Roho mbaya kweli
Humu ndani watu mna vitukoAngeiba pizza capricciano je?
Bora hata wamemuunguza, 27 yrs unakaa kwa bibi na unaiba mboga jikoni? Nyambaf badala yeye ndo awe tegemeo kuleta chakula ndo linadokoa mboga jikoni hana akili swaini.Miaka 27 na kudokoa maharage????????????
Alishamchoka, hasira nyingine si za kudokoa mboga ni kumfukuza.Huyo shangazi ni mkatili japo miaka 27 mtu anatakiwa kuwa anajitegemea.
Acha kuleta mambo ya Imani hapa, kwani Muhammad yuko wapi?Yesu Ana miaka 2022 bado yupo nyumbani kwao mbinguni.
Maisha ya mtu muachie mwenyewe
Unaona, angechomwa moto na tairi shingoni, bibi ana huruma sana.Angeiba pizza capricciano je?
Tanzania ni nchi ya vituko sanaMiaka 27 bado anafanya nn kwa bibi ?
😂😂😂😂😂Bora hata wamemuunguza, 27 yrs unakaa kwa bibi na unaiba mboga jikoni? Nyambaf badala yeye ndo awe tegemeo kuleta chakula ndo linadokoa mboga jikoni hana akili swaini.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Bora hata wamemuunguza, 27 yrs unakaa kwa bibi na unaiba mboga jikoni? Nyambaf badala yeye ndo awe tegemeo kuleta chakula ndo linadokoa mboga jikoni hana akili swaini.