Kijana Benjamin Fernandes ameleta wanafunzi wa chuo cha HARVARD na STANFORD kupanda Mt. Kilimanjaro

Kijana Benjamin Fernandes ameleta wanafunzi wa chuo cha HARVARD na STANFORD kupanda Mt. Kilimanjaro

Benjamin wacha kujisifu sana hivi unadhani Wã tz wote vilaza ... Tujua terms za hiyo scholarship.. Umeshamaliza chuo hongera sana ila kwenda kwenye media kila Mara ohh nimekataa mshahara .. Mara naleta wanafunzi Wã Harvard UNABOA... Chenge mwenye kapiga Harvard limekuwa fisadi balaa
Hahahaaaaaaa....dah...wee jamaa bans

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikumbukwe amekataa millions of dollars kwenye bigger companies of Silicon Valley, Bill Gates amejaribu kumshawishi lakini wapii, ameamua kurudi nyumbani kujenga nchi yake na impacting the knowledge of Harvard to his local nationals anataka kuajiri multitudes and to raise national productivity and development.

Wee nyumbu mkubwa tena yule nyumbu wa mwisho ktk safari..

Are you serious? Ur dead, mentally dead..!!
 
KUMBE HUYU NI MTOTO WA WALE WACHUNGAJI WA AGAPE(VERNON AND ANNY FERNANDES)
veron+N+Anne.jpg
Kumbe? Sikujua aiseeh.

hata bibi alikuwa binti.
 
Huyu hajakataa mshahara scholarship yake ilihitaji arudi bongo kufanya Kazi 2 years ...

Hiyo siyo mandatory. Mbona kuna watu kibao hususan ni wakenya wanatorokea huko huko.
 
In case you don't know, Ting Communication Limited is one of his handworks usifikiri ni mlalahoi kama unavyodhani

Nasikia ni mtoto wa Mzee mwenye Agape Television Network.Kwa kifupi ni mmiliki wa ATN,so si ajabu akikataa utumwa wakati anapo pa kuanzia.
 
Back
Top Bottom