Baba Mkali
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 810
- 813
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
REDEEMER. = Benjamin Fernández? Au ndugu wa karibu? Au mnazi wake tu? Au role-modo wake tu? Maana sio kwa madetail hayo!!
Hivi unahabari hapa Tanzania kuna kampuni ya mtanzania inamlipa mfanyakazi zaidi ya million 425 kwa mwaka walizotaka kumlipa Fernandes.?? Natena kapangiwa apartment na hiyo kampuni ambayo kwa mwezi ni $4000 Masaki. Lazima utambue Bongo kuna opportunity kubwa kuliko hata nje kama ukijipanga.kabisa kabisa mkuu...au ndo uyo fernandez nadhani. terms za schoolership yake zilimpasa arudi mjini hapa apige kazi kwa manufaa ya taifa lake....sio kwamba anaroho mzuri sana na kulipenda taifa kiasi icho...hata hawa jamaa wa harvad aliowaleta uliangalia vizuri kuna chochote ananufaika kwa ujio wao.
Endelea kuota dogo.Hivi unahabari hapa Tanzania kuna kampuni ya mtanzania inamlipa mfanyakazi zaidi ya million 425 kwa mwaka walizotaka kumlipa Fernandes.?? Natena kapangiwa apartment na hiyo kampuni ambayo kwa mwezi ni $4000 Masaki. Lazima utambue Bongo kuna opportunity kubwa kuliko hata nje kama ukijipanga.
Sio naota. Manager wa kampuni ya Iris hapa Tanzania analipwa $19,000/= kwa mwezi na chaajabu zaidi ni Mkenya mweusi. Kama nadanganya ulizia watu wanaofanya kwenye hiyo kampuni mimi hadi kwenye apartment yake nimewahi fika kwa hiyo namjua face to face. Pia mmiliki wa Iris ndo anamiliki hiyo VIVA TOWER ya postaEndelea kuota dogo.
Time will tellIn case you don't know, Ting Communication Limited is one of his handworks usifikiri ni mlalahoi kama unavyodhani
I doubt itIkumbukwe amekataa millions of dollars kwenye bigger companies of Silicon Valley, Bill Gates amejaribu kumshawishi lakini wapii, ameamua kurudi nyumbani kujenga nchi yake na impacting the knowledge of Harvard to his local nationals anataka kuajiri multitudes and to raise national productivity and development.
Benjamin wacha kujisifu sana hivi unadhani Wã tz wote vilaza ... Tujua terms za hiyo scholarship.. Umeshamaliza chuo hongera sana ila kwenda kwenye media kila Mara ohh nimekataa mshahara .. Mara naleta wanafunzi Wã Harvard UNABOA... Chenge mwenye kapiga Harvard limekuwa fisadi balaaLet's count on two years then.
Kwanini hii mada imekaa kwenye jukwaa la kenya?Alisha sema kuwa hataki kuajiliwa. Anataka kufanya investment kwenye technology
Mambo ya Section 212(e) au?kabisa kabisa mkuu...au ndo uyo fernandez nadhani. terms za schoolership yake zilimpasa arudi mjini hapa apige kazi kwa manufaa ya taifa lake....sio kwamba anaroho mzuri sana na kulipenda taifa kiasi icho...hata hawa jamaa wa harvad aliowaleta uliangalia vizuri kuna chochote ananufaika kwa ujio wao.
Kweli mkuu hebu tusogezee sourceHuyu hajakataa mshahara scholarship yake ilihitaji arudi bongo kufanya Kazi 2 years ...
Kwahiyo wewe siku za kusign mikataba ya kazi unakuwepo pembeni kushuhudia??? Watanzania bwana uongo mwingiSio naota. Manager wa kampuni ya Iris hapa Tanzania analipwa $19,000/= kwa mwezi na chaajabu zaidi ni Mkenya mweusi. Kama nadanganya ulizia watu wanaofanya kwenye hiyo kampuni mimi hadi kwenye apartment yake nimewahi fika kwa hiyo namjua face to face. Pia mmiliki wa Iris ndo anamiliki hiyo VIVA TOWER ya posta
Eti scholarship.. Unamfahamu lakini au unajitungia tu mambo usiyoyajuaHuyu hajakataa mshahara scholarship yake ilihitaji arudi bongo kufanya Kazi 2 years ...
Bavicha ni kama mna funza kichwani.. Huyu huyu mchaga redeemer leo kawa muhindi? Mnatia aibu sasaBenjamin wacha kujisifu sana hivi unadhani Wã tz wote vilaza ... Tujua terms za hiyo scholarship.. Umeshamaliza chuo hongera sana ila kwenda kwenye media kila Mara ohh nimekataa mshahara .. Mara naleta wanafunzi Wã Harvard UNABOA... Chenge mwenye kapiga Harvard limekuwa fisadi balaa