Kijana Benjamin Fernandes ameleta wanafunzi wa chuo cha HARVARD na STANFORD kupanda Mt. Kilimanjaro

REDEEMER. = Benjamin Fernández? Au ndugu wa karibu? Au mnazi wake tu? Au role-modo wake tu? Maana sio kwa madetail hayo!!

kabisa kabisa mkuu...au ndo uyo fernandez nadhani. terms za schoolership yake zilimpasa arudi mjini hapa apige kazi kwa manufaa ya taifa lake....sio kwamba anaroho mzuri sana na kulipenda taifa kiasi icho...hata hawa jamaa wa harvad aliowaleta uliangalia vizuri kuna chochote ananufaika kwa ujio wao.
 
Hivi unahabari hapa Tanzania kuna kampuni ya mtanzania inamlipa mfanyakazi zaidi ya million 425 kwa mwaka walizotaka kumlipa Fernandes.?? Natena kapangiwa apartment na hiyo kampuni ambayo kwa mwezi ni $4000 Masaki. Lazima utambue Bongo kuna opportunity kubwa kuliko hata nje kama ukijipanga.
 
Endelea kuota dogo.
 
Endelea kuota dogo.
Sio naota. Manager wa kampuni ya Iris hapa Tanzania analipwa $19,000/= kwa mwezi na chaajabu zaidi ni Mkenya mweusi. Kama nadanganya ulizia watu wanaofanya kwenye hiyo kampuni mimi hadi kwenye apartment yake nimewahi fika kwa hiyo namjua face to face. Pia mmiliki wa Iris ndo anamiliki hiyo VIVA TOWER ya posta
 
Ikumbukwe amekataa millions of dollars kwenye bigger companies of Silicon Valley, Bill Gates amejaribu kumshawishi lakini wapii, ameamua kurudi nyumbani kujenga nchi yake na impacting the knowledge of Harvard to his local nationals anataka kuajiri multitudes and to raise national productivity and development.
I doubt it
 
Let's count on two years then.
Benjamin wacha kujisifu sana hivi unadhani Wã tz wote vilaza ... Tujua terms za hiyo scholarship.. Umeshamaliza chuo hongera sana ila kwenda kwenye media kila Mara ohh nimekataa mshahara .. Mara naleta wanafunzi Wã Harvard UNABOA... Chenge mwenye kapiga Harvard limekuwa fisadi balaa
 
kabisa kabisa mkuu...au ndo uyo fernandez nadhani. terms za schoolership yake zilimpasa arudi mjini hapa apige kazi kwa manufaa ya taifa lake....sio kwamba anaroho mzuri sana na kulipenda taifa kiasi icho...hata hawa jamaa wa harvad aliowaleta uliangalia vizuri kuna chochote ananufaika kwa ujio wao.
Mambo ya Section 212(e) au?
 
Anajiandaa kubalance equation ya mikasa ya akina manji sethi.

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
 
158ae908d269b4998b3d5fab4126c337.jpg
hapa pamekaaje wadau?

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
 
Sio naota. Manager wa kampuni ya Iris hapa Tanzania analipwa $19,000/= kwa mwezi na chaajabu zaidi ni Mkenya mweusi. Kama nadanganya ulizia watu wanaofanya kwenye hiyo kampuni mimi hadi kwenye apartment yake nimewahi fika kwa hiyo namjua face to face. Pia mmiliki wa Iris ndo anamiliki hiyo VIVA TOWER ya posta
Kwahiyo wewe siku za kusign mikataba ya kazi unakuwepo pembeni kushuhudia??? Watanzania bwana uongo mwingi
 
Benjamin wacha kujisifu sana hivi unadhani Wã tz wote vilaza ... Tujua terms za hiyo scholarship.. Umeshamaliza chuo hongera sana ila kwenda kwenye media kila Mara ohh nimekataa mshahara .. Mara naleta wanafunzi Wã Harvard UNABOA... Chenge mwenye kapiga Harvard limekuwa fisadi balaa
Bavicha ni kama mna funza kichwani.. Huyu huyu mchaga redeemer leo kawa muhindi? Mnatia aibu sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom