Fikra finyuLissu yeye yuko busy kusema tuwekewe vipangamizi.. Wenye akili zao na nia ya kulisaidia taifa ndio hawa. Magufuli muone huyo kijana kwenye post yeyote nyeti.. Mpe hata shirika fulani aliendeshe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaaaaa....dah...wee jamaa bansBenjamin wacha kujisifu sana hivi unadhani Wã tz wote vilaza ... Tujua terms za hiyo scholarship.. Umeshamaliza chuo hongera sana ila kwenda kwenye media kila Mara ohh nimekataa mshahara .. Mara naleta wanafunzi Wã Harvard UNABOA... Chenge mwenye kapiga Harvard limekuwa fisadi balaa
Anaupeo wahali ya juu. Alafu kumbe hata kwenye chuo alikuwa number moja.Yuko na plan pana sana.
Ikumbukwe amekataa millions of dollars kwenye bigger companies of Silicon Valley, Bill Gates amejaribu kumshawishi lakini wapii, ameamua kurudi nyumbani kujenga nchi yake na impacting the knowledge of Harvard to his local nationals anataka kuajiri multitudes and to raise national productivity and development.
Kumbe? Sikujua aiseeh.KUMBE HUYU NI MTOTO WA WALE WACHUNGAJI WA AGAPE(VERNON AND ANNY FERNANDES)
Watu wanachimba chimba hasa maana Tz kila mtu ni mwanasiasahapa pamekaaje wadau?
Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
Huyu hajakataa mshahara scholarship yake ilihitaji arudi bongo kufanya Kazi 2 years ...
Ukitoroka trump anakukamataHiyo siyo mandatory. Mbona kuna watu kibao hususan ni wakenya wanatorokea huko huko.
Ahaaa haaa haaaUkitoroka trump anakukamata
In case you don't know, Ting Communication Limited is one of his handworks usifikiri ni mlalahoi kama unavyodhani