nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
AhahaaaaaaaaaaLabda atafunguliwa 2020 mwanzoni ili atutukane wakati wa kampeni then anafungiwa tena
Diamond hana malezi mazuri nyimbo zake zooote ni matusi hivi kweli huyu Diamond haoni kua anaidhalilisha Tanzania!! Alianza kidogo kidogo tukawa tunamchekea sasa basi tumechoka .Ahahaaaaaaaaaa
UchocheziYaani anasema,"tema mate niteleze kama pangoni?...
Haya matusi hatuwezi vumilia,naomba akamate,anyongwe
Ila huo msemo mtamu sana[emoji1787][emoji1787]Yaani anasema,"tema mate niteleze kama pangoni?...
Haya matusi hatuwezi vumilia,naomba akamate,anyongwe
Kwani umelazimishwa kusikiliza? Wasanii wapo wengi unaweza kuwasikiliza.Diamond hana malezi mazuri nyimbo zake zooote ni matusi hivi kweli huyu Diamond haoni kua anaidhalilisha Tanzania!! Alianza kidogo kidogo tukawa tunamchekea sasa basi tumechoka .
Umesababisha ulowane?Ila huo msemo mtamu sana[emoji1787][emoji1787]
Andika kiswahili fasaha....sema wacha aso me tarakimu....Wacha aisome nambaa
Unanifanya niwaze mbaliUmesababisha ulowane?