Kijana Diamond anajitahidi kutukana kwa kweli

Kijana Diamond anajitahidi kutukana kwa kweli

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
kumuendekeza eti analipa kodi kaajiri watu hata kina amber ruty tuwape nafasi na kucheza picha za matusi watachangia kodi kubwa sana na ajira pia
hii vipande vinawafaa sana wale wabunge kucheza ila kibajaj aongezeke hapo..tuwakomeshe hao...k**man**a k**any**o ,woyoooooooo.Kioo cha jamii

 
Labda atafunguliwa 2020 mwanzoni ili atutukane wakati wa kampeni then anafungiwa tena
 
Akitaka wamfungulie show zake atoe wimbo wa kuisifia ccm na kuikashifu chadema, baada ya siku mbili wanamfungulia
 
Daddy atakuja tena baadae.
Ngoja tukamjadili kwanza kauli za Mnyika.
 
Diamond hana malezi mazuri nyimbo zake zooote ni matusi hivi kweli huyu Diamond haoni kua anaidhalilisha Tanzania!! Alianza kidogo kidogo tukawa tunamchekea sasa basi tumechoka .
Kwani umelazimishwa kusikiliza? Wasanii wapo wengi unaweza kuwasikiliza.
 
Back
Top Bottom