Kijana fanya haya kumnasa mwanamke yeyote classy!

Kama hayo ndio ya kuzingatia embu tueleze kwanini wake wa ma boss wengi wanaliwa na walinzina ma house boy ambao wananuka jasho nakuvalia viatu vya buku miatano vya karume na perfume hata hawaijui , non of those things work.

Too low!! Why anabakia kwa boss asiende olewa huko kwa walinzi?
 
Dem wa kishua unaweza simamia shoo hata ya 200k, lkn kesho ukamwambia nikopeshe 500k akakupa na hiyo ndo ntolee.

Sio hawa kupee
Mimi nna ndugu zangu wa kishua hadi wanaolewa wazazi wao wamesimamia shoo na mtoto kapewa gari na familia yake ikawasaidie kwenye usafiri, jamaa aliwini kumwoa mtoto wa kike, afu hakuwa na mbwembwe wala nini, mkewe kwanza yupo simpo hana makeke km ya hawa Classy bi**hes
 

Hiyo ni general mkuu!! Ukiwa hivyo ktk maisha yako itapendeza!!
 
Cha msingi Kijana uishi maisha yako.. Fake fake sio issue..
 
Mkuu..

Kama kuna mdogo wako huki muokoe na hii ferry ya classy women...

Ngoma inazama kama mv nyerere hii [emoji3][emoji3]
Transcend wewe hupendi watoto classy? kwa lugha rahisi mtoto mkali/pini...

kuanzia minyuko hadi utembeaji.
 
Dem wa kishua unaweza simamia shoo hata ya 200k, lkn kesho ukamwambia nikopeshe 500k akakupa na hiyo ndo ntolee.

Sio hawa kupee

Ahahahahahaha eti kupe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usikariri maisha hivyo vitu nilivyoweka hapo anamudu mtu wa middle income tuu ya matajiri na hela ndefu sijaweka!! Kama ur boy can’t afford the mentioned items mko lower income class!

Heeee slow down man, first of all I’m past age ya kuwa na “boy”
Second, Any dumb person will take your advice. Mwenye akili timamu na malengo atakuachia upupu wako mwenyewe. Just because ulienda NY ukapulizia perfume ya $30 ukapewa attention na some so called “classy” gold diggers haimaanishi ndo kila mtu can fall in to your crap, . Pulizzzz some of us are too old for this ridiculous type of eye-catching from a man[emoji1304]
 
Hata ulaya yapoo.

Mkuu ulaya zile style za mitongozano yetu these days haipo huku mtu akiupenda mwonekano wako anakwambia in a very simple way and clear!! Sio kama hawa wanaosema eti mtu hajakufeel wala sio class yake wewe ukamtemee ngare hadi akutake si rahisi huku!
 
Wewe ndio nonsense na jobless!! Ktk thread zote za maana umeona upoteze muda kwenye nonsense!! Kula dagaa kajambe mbele
Wewe hujitambui kabisa, hata "signature" yako inakusuta kutokana na huu upupu ulioandika kwenye hii thread yako.
 
Wewe ndio nonsense na jobless!! Ktk thread zote za maana umeona upoteze muda kwenye nonsense!! Kula dagaa kajambe mbele
Aisee...nilijua tu hii thread will take a wrong turn.
 

Haha Nani kakwambia Creed aventus $30? Hii inaonesha wazi upo ktk dunia ipi. Then kama thread huielewi achana nayo! Sipo kutafuta ligi hapa nimeiona tone ya ujumbe wako tangu mwanzo!

Hao unaosema level yako ni vizuri ukaenda jadiliana nao huko. All the best!!
 
Hiyo ni general mkuu!! Ukiwa hivyo ktk maisha yako itapendeza!!
Siwezi kujikweza wala kujishusha kwa ajili ya mwanamke aliyezaliwa na mwanamke, mwanamke nikiongea naye dk 5 tu najua anaishia wapi, so hata sina haja ya kujikweza, na pia huyo classy anajiona classy kwasababu mwanaume amemruhusu kuwa classy, so i dictate the terms, i dont follow trends.
 
Atleast some lady worth a class! Nice.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…