Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee...nilijua tu hii thread will take a wrong turn.
Huyu mdau sijamwona siku nyingi kuleeHaha
Hii haituhusu tunaopoa wale wa kwa Mtogole...
Nina mmoja mkali ananitosha kaka..Transcend wewe hupendi watoto classy? kwa lugha rahisi mtoto mkali/pini...
kuanzia minyuko hadi utembeaji.
Haha[emoji3][emoji3]Mkuu...dah
Daby atakuwa anadunda kama kameza kitenesi mjini [emoji3]Hadi kutembea?
Nakuja kupata mtt classy wa kuoa kumbe haya, jenga kwanza kijana then anzisha familia, starehe hazina mwisho, ujana maji ya moto [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mwanamke yeyote hasa aliye classy huvutiwa na mambo haya kwa mwanaume.. achana na hadithi za baby baby all the time.
Kwanza kuwa smart! Nakumbuka first timenilikutana na mrembo machachari afrika mashariki anaeanza na herufi ”Z” pale 5th Avenue NY ktk mkahawa fulani aliniuliza bro umetumia cologne gani? Nikamwambia ni Creed Aventus alimalizia kwa kusema nzuri mno!! Perfume iliniunganisha na mrembo yule tukachat machache na kuachana but ndo ilifungua ukurasa wa kufahamiana. Vaa nguo nzuri na simple, kama ni miwani usivae ya machinga vaa ya majina na original kama Gucci... Prada etc
Pili kuwa Expensive!! Yote duniani yanawezekana ni juhudi zako tuu!! Vaa saa expensive, tumia perfume expensive za majina kama akina Paco Rabanne, YSL, Isey Miyake, Georgio Armani... Chanel etc.. alimia 70 za warembo nilio wahi kuwa nao niliwanasa kwa perfumes tu! Unakuta mrembo kila saa anapita pita mbele yako.
Vaa saa nzuri... simple looking but expensive one!! Vaa saa genuine!
Tumia Simu brand kali na toleo jipya sio unatumia older versions za iPhone au Samsung ukategemea mrembo classy atakupa attention!
Pendelea kutumia usafiri private hata kama huna Gari! Kwa wale wa mjini tumia Uber.. mtoto wa kike kumkimbiza na vibajaji atakushusha!!
Tatu na mwisho be a gentleman!! Ishi ktk jinsia yako ya kiume!! Tambua wajibu wa mwanaume mbele ya mwanamke!! Beba majukumu yote mbele yake kama kulipia bills, kutoa msaada n.k wanawake huvutiwa sana na mwanaume mlipa bills!! Hata mkiwa club wanawake wengi macho yao huwa kwa wanaume wanaosimamia show!!
Kijana ukiweza fanya hayo hakuna mwanamke atakukataa ktk dunia hii hata kama sio kwa mapenzi hata kwa urafiki tuu...
Hizo ndo nondo toka kwa kaka yenu ninayesubiria uhenga!!
Nakaza kabisa [emoji57]Nakazia
duuh presha kisa p?[emoji23] [emoji23] [emoji23] wengine wanazimia, pressure daaah!
Mkuu unajua nimetoka kula dagaa sasa hivi..😎😎Wewe ndio nonsense na jobless!! Ktk thread zote za maana umeona upoteze muda kwenye nonsense!! Kula dagaa kajambe mbele
Haha Nani kakwambia Creed aventus $30? Hii inaonesha wazi upo ktk dunia ipi. Then kama thread huielewi achana nayo! Sipo kutafuta ligi hapa nimeiona tone ya ujumbe wako tangu mwanzo!
Hao unaosema level yako ni vizuri ukaenda jadiliana nao huko. All the best!!
Nina mmoja mkali ananitosha kaka..
Wala sikumpata kwa staili hii ya kufaa saa nzuri na perfume kali..
Nilikuwa mimi tuu! Saa na perfume nilikuwa navyo vile ambavyo nina uwezo navyo tuu.
Sio mimi mwanamke.Daby atakuwa anadunda kama kameza kitenesi mjini [emoji3]
Heri yenu. Wengi tupo kuishi maisha yetu vile tunavyopenda,hatuhitaji kumvutia mtu yeyote.Kuna Umri unajisikia sana kufanya haya, na Kama pesa inaruhusu , basi fanya, ila nadhan wafanye sana ambao umri upo 21 -26 yrs, tuliozid hapo tunakuwa na Mawazo tofaut kidogo na hayo Mambo.
Sasahiv hatuko kuvutia wanawake kwa purfume, au kwa kulipa Bill , ila tupo kwa kuwavutia na Nyumba/viwanja, Potential Job, unavyodhaminika Kwenye jamii nk..
Sio USAWA WA MAGU labda Enzi za J.K.Mwanamke yeyote hasa aliye classy huvutiwa na mambo haya kwa mwanaume.. achana na hadithi za baby baby all the time.