What a waste!! Hizi ndo generalizations zenu losers!! Nani kakwambia nalipa kodi? Teh teh teh no wonder mnachagua vichaa!!Lmao! Clown of a month!
Haya na wewe kila la heri na perfumes zako za dola 500 na miwani ya dola 900 etc huku nyumba unalipa kodi kwa aliyetumia akili kujenga ili uishi na mwenye ofisi akakuajiri. Akina warren buffet wangekuwa wajinga hivi leo wasingekuwa matajiri wa dunia.
Vijana wengi wanazani mwanamke ambaye anajiheshimu atamtongoza kwa siku moja na akakubaliwa au wanazani wanawake wanaangalia sana mavazi au unanikiaje! Akipata na kigari anaona kamaliza ni kutongoza tu videmu mtaani.Kuna watu hawana elimu juu ya mahusiano kabisa kama unadhani uwanaume wako upo kwenye kuvaa vitu vikali na perfume za bei ghari inaonesha dhahili kua umechemsha , maana kuna watoto wazuri wamezaliwa maisha ya kitajiri ambao hata ufanye nini kapuku kama mimi hauwezi kuwa impress hata kidogo , lakini still unakutana naye unamtia sumu na mtoto anakuelewa wakati ukilinganisha maisha yake na yako ni vitu viwili tofauti , kuna wanawake wanakazi za maana wafanya biashara wanapesa ndefu lakini unakuta jamaa wa kawaida anaomba date na anapewa kwa ile confidence anayokua nayo tu , tabia za kutaka kujifanya matawi class hii inaonesha kuna something ume miss kama mwanaume tena bora demu ajue wew unamaisha ya chini kawaida tu kuliko kujidai tajiri alafu akagundua bonge la pretender , kwenye maisha siku zote kutakua na wenye pesa kuliko wew kutakua na wenye vitu vya maana kuliko wewe kama uwanaume wako unategemea vitu hivyo kila siku utajisikia inferior na wanawake wanajua sana type hii ya wanaume
Wachache mkuu ndio wanaishi hivyo ila wengi nanga inapaa maana biashara nyingi haziendi,wafanyakazi wengi wamepunguzwa kazi na hata walioko makazini safari,perdiem,semina warsha ,makongamano hakuna hivyo hata masotojo na umateumate umepungua.Usawa huu huu wa Magu watu wanaishi kama malaika mkuu... ni kurasa tu zinabadilika!!
Wapo wanaotongozwa na kupatikana siku moja,wapo wanaoangalia magari,mavazi etc. Wanawake kama binadamu wanatifautiana.Vijana wengi wanazani mwanamke ambaye anajiheshimu atamtongoza kwa siku moja na akakubaliwa au wanazani wanawake wanaangalia sana mavazi au unanikiaje! Akipata na kigari anaona kamaliza ni kutongoza tu videmu mtaani.
Ni kweli mkuu but still wapo wanao afford.Wachache mkuu ndio wanaishi hivyo ila wengi nanga inapaa maana biashara nyingi haziendi,wafanyakazi wengi wamepunguzwa kazi na hata walioko makazini safari,perdiem,semina warsha ,makongamano hakuna hivyo hata masotojo na umateumate umepungua.
Wapo wanaotongozwa na kupatikana siku moja,wapo wanaoangalia magari,mavazi etc. Wanawake kama binadamu wanatifautiana.
Wanawake wa mbagala hawataki hayoMwanamke yeyote hasa aliye classy huvutiwa na mambo haya kwa mwanaume.. achana na hadithi za baby baby all the time.
Kwanza kuwa smart! Nakumbuka first timenilikutana na mrembo machachari afrika mashariki anaeanza na herufi ”Z” pale 5th Avenue NY ktk mkahawa fulani aliniuliza bro umetumia cologne gani? Nikamwambia ni Creed Aventus alimalizia kwa kusema nzuri mno!! Perfume iliniunganisha na mrembo yule tukachat machache na kuachana but ndo ilifungua ukurasa wa kufahamiana. Vaa nguo nzuri na simple, kama ni miwani usivae ya machinga vaa ya majina na original kama Gucci... Prada etc
Pili kuwa Expensive!! Yote duniani yanawezekana ni juhudi zako tuu!! Vaa saa expensive, tumia perfume expensive za majina kama akina Paco Rabanne, YSL, Isey Miyake, Georgio Armani... Chanel etc.. alimia 70 za warembo nilio wahi kuwa nao niliwanasa kwa perfumes tu! Unakuta mrembo kila saa anapita pita mbele yako.
Vaa saa nzuri... simple looking but expensive one!! Vaa saa genuine!
Tumia Simu brand kali na toleo jipya sio unatumia older versions za iPhone au Samsung ukategemea mrembo classy atakupa attention!
Pendelea kutumia usafiri private hata kama huna Gari! Kwa wale wa mjini tumia Uber.. mtoto wa kike kumkimbiza na vibajaji atakushusha!!
Tatu na mwisho be a gentleman!! Ishi ktk jinsia yako ya kiume!! Tambua wajibu wa mwanaume mbele ya mwanamke!! Beba majukumu yote mbele yake kama kulipia bills, kutoa msaada n.k wanawake huvutiwa sana na mwanaume mlipa bills!! Hata mkiwa club wanawake wengi macho yao huwa kwa wanaume wanaosimamia show!!
Kijana ukiweza fanya hayo hakuna mwanamke atakukataa ktk dunia hii hata kama sio kwa mapenzi hata kwa urafiki tuu...
Hizo ndo nondo toka kwa kaka yenu ninayesubiria uhenga!!
Unaonekana uko limited sana ktk exposure that's why nilikuita mzee wa shamba!Hao wanaasili ya umalaya, ukimtongoza mwanamke akakubali ndani ya siku 1 wakati hamfahamiani huyo gonga na kumuacha hana maana na mtakuwa wengi kawapanga
Yap hawakosekani wala bata hata nchi ikifirisika mkuu ndio maana kina GINIMBI wametusua huko ZIMBABWE pamoja na nchi hiyo kuyumba kiuchumi,daily GINIMBI ananua Rolls Royce Brand New.Ni kweli mkuu but still wapo wanao afford.
Halafu humu watu wanakuja na conclusions ooh sijui kina fulani wasingekua matajiri kwa akili yao wanafikiri akina GINIMBI wanaishi maisha kama yao!!Yap hawakosekani wala bata hata nchi ikifirisika mkuu ndio maana kina GINIMBI wametusua huko ZIMBABWE pamoja na nchi hiyo kuyumba kiuchumi,daily GINIMBI ananua Rolls Royce Brand New.
Niko mjini kitambo sana, we unaonekana umezoea kutongoza wanawake ambao wapo kibiashara, au unakastatus fulani kanako watingisha wanawake wanaokufahamu mtaani, Ila kama wewe ni mtu wa viwango huwezi kumtokea demu siku 1 akakubalia hata kama awe anaugwadu akikubali huyo muogope sanaUnaonekana uko limited sana ktk exposure that's why nilikuita mzee wa shamba!
Watu wa mjini reasoning zao zinajulikana!Niko mjini kitambo sana, we unaonekana umezoea kutongoza wanawake ambao wapo kibiashara, au unakastatus fulani kanako watingisha wanawake wanaokufahamu mtaani, Ila kama wewe ni mtu wa viwango huwezi kumtokea demu siku 1 akakubalia hata kama awe anaugwadu akikubali huyo muogope sana
Tatizo we ni mbishi,Watu wa mjini reasoning zao zinajulikana!