Kijana, fanya mambo hayo muhimu kuilinda afya yako

Shukrani mkuu Kwa kutukumbusha.
 
Daaaah maeneo ya kiosa nini......?
Au madibila πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mkuu mi najijua nikianza hayo mambo daaah itakua big risk sana
Hapana kaka ,hii umalila kwao baraka mpenja mwamba wa umalila ,huku mbeya kwa ndani nikipanda mlimani naiona Zambia yote na Malawi kaka .

Huku baridi mwaka mzima na UKIMWI ndiyo malaria yetu
 
hahah homeboy
nimekupata natoka airport ya zamani Apo now nipo zenjiπŸ˜…
Samora moja hiyo......

Oa skia huko zenji kuwa makini mkuu usije kurithi tabia za hao jamaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapana kaka ,hii umalila kwao baraka mpenja mwamba wa umalila ,huku mbeya kwa ndani nikipanda mlimani naiona Zambia yote na Malawi kaka .

Huku baridi mwaka mzima na UKIMWI ndiyo malaria yetu
Oooooh ooooh kumbe sasa mi naishiaga kiwira nikienda sana basi ushirika ahahahahaha

Sema nini faza acha acha bana tena huko green city kuna kila kitu cha kufanya uwe comfortable πŸ˜‚πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Mkuu dactar wa bushmen...
Ni kweli kabisa haya mambo yanakula mpaka ukoo hapo badae hizo ni vyema ku play safe
Sana Mkuu Sisi watu wa mitoshamba tunashuhudia jinsi watu wanavyohangaika na madhara yake.

Wanamaliza waganga na waganguzi lakini Laana zake haziondoki na wana kiri kabisa kwamba kuna vitu walifanyia watu kwa hiyo wanataka msaada jinsi ya kujinasua.

Its too late.
 
Duuuh kumbe id yako inasadifu yaliyopo...

Dokta unataka kusema ukute kuna watu tunapitia magumu kwa sabbu kuna babu zetu walizingua huko nyuma sio .?
 
Asante totoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…