Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
- #81
Daaah mkuu nikwambie ukweli tuu..Hapa ni kweli aisee by professional vifaa vya ki electronic natumia kwa masaa 17 kila siku except jumamosi na jumapili tu labda ndio nitakuwa na simu kuanzia saa 3 asbh mpaka saa 8 usiku.
Kuhusu soda yaani hapo kwa wiki nakunywa kreti moja la soda na red bull 7-10 huko kwingine sipo kabisa. Ni vile tu maisha yametaka hivyo nawish by 2025 niwe Mkulima na Mfugaji kubadili life style yangu hasa kwenye kutumia electronics equipments.
Kuhusu energ drinks nitaanza kutumia alkasusu na Tangawizi vile vile kabla ya kula kitu nitakuwa nameza vitunguu swaumu
Huu uzi ni special for you mana kuna mtu kakuambia ila kachoka ndo kaja kwangu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂