Kijana, fanya mambo hayo muhimu kuilinda afya yako

Kijana, fanya mambo hayo muhimu kuilinda afya yako

umeongea yote ila umesahau moja la muhimu sana tena lingekua la kwanza kabisa..

kila mtu kwa imani yake atangulize "ibada". ukijengeka kiroho mambo mengi hapo utayaepuka
Sawa sawa mkuu ibada muhimu na ibada ndio msingi wa haya yote..

Japo kwa sasa binaadamu hawa unapozungumzia suala la ibada hawaelewi kabisa
 
🎢 Vijana kuvana nowe waiyoo....
(waiyooo, Dobi dobiiii)

Ayo no mwana kuwano wewaiyo...
(Waiyooo, Dobi dobiiii)

Ayo no mwana kuwano wewaiyo jama...
( Waiyooo, Dobi dobiiii)🎢

Jamani pisi hizo, pisi hizo....

Bombo klaaaaat....πŸ˜‚
Koh koh koh yao yao.....
Naona leo umekua mstaarabu japo nimegusia mambo ya Mungu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom