mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Yaani katika WAPUUZI ambao sijawahi kupoteza Bando yangu mmoja wapo ni Huyo HABILI ,yaani niliona tu jamaa ni lijinga na sauti lake la magic voice na picha za AI.Huyu kijana mjanjamjanja , aliibuka na kudai ataipararaizi serikali, alikuja na mbinu za kujiliza huko TikTok kwenye Kila live, na madai kedekede ya kujifanya anaushaidi wakutosha wa video na sauti ambao hakuwahi kuuweka hata mmoja hadharani.
Mtu huyu aliamua kupita na upepo maana aliaona waTanganyika hawana pakushika na alikua anaongea ambayo wengi walitaka kuyasikia..
Kijana alienda mbali na kudai ataleta satellite na dron, akasema ataipaparaizi B.O.T na mfumo wa jeshi, akawaonya Tiss nakusema atawapararaizi na wao pamoja na ikulu wakijaribu kuzuia D9🙌🙌.
HUYU KIJANA NI TAPELI KAMA MATAPELI WENGINE
Yaani hii nchi kuwaingiza watu chaka ni jambo rahisi sanaYaani katika WAPUUZI ambao sijawahi kupoteza Bando yangu mmoja wapo ni Huyo HABILI ,yaani niliona tu jamaa ni lijinga na sauti lake la magic voice na picha za AI.
Pole sana mkuu huyo jamaa ni TeethHuyu kijana mjanjamjanja , aliibuka na kudai ataipararaizi serikali, alikuja na mbinu za kujiliza huko TikTok kwenye Kila live, na madai kedekede ya kujifanya anaushaidi wakutosha wa video na sauti ambao hakuwahi kuuweka hata mmoja hadharani.
Mtu huyu aliamua kupita na upepo maana aliaona waTanganyika hawana pakushika na alikua anaongea ambayo wengi walitaka kuyasikia..
Kijana alienda mbali na kudai ataleta satellite na dron, akasema ataipaparaizi B.O.T na mfumo wa jeshi, akawaonya Tiss nakusema atawapararaizi na wao pamoja na ikulu wakijaribu kuzuia D9🙌🙌.
HUYU KIJANA NI TAPELI KAMA MATAPELI WENGINE
We ni chawa, matakor ya bibi yako.NYUMBU NI CHAKULA CHA MAMBA
N.B No soft game in life , PROTECT YOUR LIFE, SAY NO DEMONSTRATION❌
We ni chawa, matakor ya bibi yakoAmani ni tunu yetu tuilinde kwa wivu mkubwa
We ni chawa, matakor ya bibi yakoNyumbu huwa wanapenda kuingizwa chaka.Kwano wanaishi kwa uzushi ,matusi na kejeli.Walipata mwalimu wao.
No soft game in life , PROTECT YOUR LIFE, SAY NO DEMONSTRATION❌We ni chawa, matakor ya bibi yako.
Ya mama yako malaini.Mlaumu sana kwa kuolewa na baba hohehahe ndio maana unachojua ni matusi tu.Pathetic moron.We ni chawa, matakor ya bibi yako
Useless idiotNo soft game in life , PROTECT YOUR LIFE, SAY NO DEMONSTRATION❌
Wewe tangu asubuhi unazurula humu kuandika mashudu tupu kazi unafanya saa ngapi au upo hapo seblen kwa shemeji yako unamsubiria mume wa dada yako aje akubandue?NYUMBU NI CHAKULA CHA MAMBA
N.B No soft game in life , PROTECT YOUR LIFE, SAY NO DEMONSTRATION❌
No soft game in life , PROTECT YOUR LIFE, SAY NO DEMONSTRATION❌Wewe tangu asubuhi unazurula humu kuandika mashudu tupu kazi unafanya saa ngapi au upo hapo seblen kwa shemeji yako unamsubiria mume wa dada yako aje akubandue?
Punguza ujinga...No soft game in life , PROTECT YOUR LIFE, SAY NO DEMONSTRATION❌
No soft game in life , PROTECT YOUR LIFE, SAY NO DEMONSTRATION❌Useless idiot
No soft game in life , PROTECT YOUR LIFE, SAY NO DEMONSTRATION❌Punguza ujinga...