Kijana, hii ndiyo siri bora kabisa ya kuwa tajiri, kafara yake haina madhara

Unaonekana hunaga paparaa....

Hahahaha kwann umesema hivyo ??

Unajua nn Joh...haya maisha ni yakutumia sana akili nyingi sanaa kuliko nguvu.

Wewe google kila kitu about “ Leverage “

Utaja jifunza mambo mazito sanaa na at some point utaona anything is possible.

Mzee wangu ni big tym trader ila ni wale wachagga wanakulea kibabe sanaa...nikatafuta a way i cud eat leveraging from his capital.
 

Mzee mama we acha tu nilipanga niwe na hata hiace mbili tu kabla sijatoboa miaka 20 lakin dah naona bila bila na miaka imepita,,

Nilipanga niowe na miaka 19 ,nimalize kuzaa na miaka 25 ila mapaka sasa naona bila bila na umri hausubiri.(kwangu kuowa ni mafanikio)

Kikubwa tupambane sana sana san, ni kweli mzunguko wa hela umepungua lakini tupambne hivo hivo tutafika..

Naamini naweza ,,na nmezaliwa mshindi nakatika Mungu nayaweza mambo yete ,nitapambana sana kabla ya miaka 30 huu ndo umri
 


yes...ww unachance kubwa zaidi..kila la heri....mie bro katoboa bwana..he is only 31💍💍💍💎💎
 
Mkuu sio familia tu, ili uweze kufurahia dunia hii inahitaji uwe na pesa la sivo utakuwa unasogeza siku tu, Athari za umaskini zinachoma mithiri ya Moto wa jehenamu


Pesa ni mhimu sana ili mtu usije ukaishi store ,, umasikini ni mbaya sana ,ukiwa masikini unakuta chini ya uvungu wako kuna kuku anaatamia ,,kuna majembe ,,kuna mahindi ya mbegu ya msimu ujao,kuna mapalage ,kuna matoborwa pia.. Yaan umasikini ni tabu sana
 

NImecheka had nimepaliwa...dah...ww mtoto wew u made my day...hahahhahaa...ati kuku anataamia😂😂😂😂
 
yes...ww unachance kubwa zaidi..kila la heri....mie bro katoboa bwana..he is only 31💍💍💍💎💎


Hongera sana kwake ,,

Tupambane kila kitu kinawezekana kikubwa nidhamu ya hali ya juu sana ,, kwa umri wangu ninavyo ninavo vimiliki naona mwanga mzuri mbele,,


Kwenye maisha go east or west binadamu kujilinganisha haachi,, nikijilinganisha na egemate wangu wa kitaa kwetu naona niko mbali sana tofauti na wao
 


Hongera mno
 
NImecheka had nimepaliwa...dah...ww mtoto wew u made my day...hahahhahaa...ati kuku anataamia😂😂😂😂

Yes kuna watu wanalala kitandani ,chini ya uvungu kuna kuku inaatamia ,,au kuna sehemu ya kuku kutagia ,,

Nenda maeneo ya anzia kolandoto ,kishapu ,mpaka meatu mwanhuzi ,vijiji vya huko tabu tupu
 
Hahhaaha
 


Kweli kbs..pesa ndo kila kitu
 
Aseeeeeh kumbe we mchagga mwenza, kweli mkuu kupanic hakuweki akili sawa kabisa.
 
Sihusiani na hilo kabila tafadhali.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…