Kijana, hii ndiyo siri bora kabisa ya kuwa tajiri, kafara yake haina madhara

Hiyo kitu tulimezeshwa kutoka mwaka 1967 kwenye azimio la Arusha, ndo maana sipendi ujamaa ukiukumbatia maana yake unataka uwe maskini na utajikuta unaaminishwa kuwa tajiri ni mwizi na mhujumu uchumi.
 
Ha ha ha... Umeongea ukweli kabisa ndugu yangu unayekula matoborwa.

 
Aiseee watu walisema sana... Mpaka nikaomba mod wauuondoe. Sikuwa nmewafaham vizur watu wa JF. nikaja kugundua ukitaka upate wachangiaji wengi andika mada za kipuuzi tu au za kukata tamaa.. mtu anaandika kuwa sumu gani inaua haraka watu wanamchangia mawazo sana. Au ukiandika jana ume sex na bint mmoja mpaka akakimbia bas wachangiaji watakuja wengi sana.

Waambie jamani kuna pesa nmepata mili 200 nawaza nifanye nini.... Aisee watakutukana sana. Wengine watakwambia kama unazo kweli watumie ... Ukiwaambia jamani nataka nibadilishe gari sasa natumia VW Tourage nataka kununua AUDI SUV au FORD RANGER mnazifaham vipi? Watakujia juu na watataka uwatumie picha n.k why?

Ila uliposema jana umesex mpaka msichana kakimbia hawakusema tutumie picha.yaani wanaamini katika umaskini zaidi kuliko utajiri. Ukisema una siku mbili umelala njaa wanafurahi sana. Uje useme ume enjoy sana msosi serena hotel....unakuwa ugomvi nao...

Umesema kweli mkuu...mie huo uzi wako huenda sikuuona...humu mtu ukisema una hiki wanakuvamia..hahaa hawajui humu had watu wenye mi-phd wamejazana humu na matajiri vile vile..!All the best ..
 

huko kwingine sijapaelewa,hapa kuna point nyingi sana Alafu mkuu ujifunze ku samaraiz Mwalimu wangu wa histori alinambiaga ukiandika essay POINT inatangulia then mbwembwe zinafata huko nyuma..ila ww umefanya kinyume!

sio mbaya Mi nimeelewa japo umenchosha kdg but Thenkyuuuuuuu
 
Mtu kujisifu utajiri either uwe nao kweli au usiwe nao ni upumbavu wa kiwango cha sodoma na gomora.
 


Na mwalimu wa kiswahili alikufundisha nini maana hata wewe uandishi wako ni mbovu tu

Samahani ila uwo ndo ukweli nawe jifunze kutumia lugha ya uandishi vizuri
 
Na mwalimu wa kiswahili alikufundisha nini maana hata wewe uandishi wako ni mbovu tu

Samahani ila uwo ndo ukweli nawe jifunze kutumia lugha ya uandishi vizuri

Kwenye hizo nyekundu ndio mwalimu wako alikufundisha kuandika hivyo unapoyatumia hayo maneno??
 
Nmejisikia uvivu kumjibu maana ameandika kama mtoto wa darasa la tatu ila anakaa kaa na watoto wa darasa la saba hivyo kuna vimaneno maneno kavifahamu kupitia wao ndo anatafuta pa kuvitumia.


Na mwalimu wa kiswahili alikufundisha nini maana hata wewe uandishi wako ni mbovu tu

Samahani ila uwo ndo ukweli nawe jifunze kutumia lugha ya uandishi vizuri
 
Kwenye hizo nyekundu ndio mwalimu wako alikufundisha kuandika hivyo unapoyatumia hayo maneno??


Yaan nimecheka sana Mzee baba ,tuko kwenye ulingo/darasa la kusahihishana .


Kwenye hayo maneno nipo sahihi 100% labda kama wewe umeathiriwa na lugha mama.

Mbovu ,uwo ni maneno sahihi Mkuu
 
Nmejisikia uvivu kumjibu maana ameandika kama mtoto wa darasa la tatu ila anakaa kaa na watoto wa darasa la saba hivyo kuna vimaneno maneno kavifahamu kupitia wao ndo anatafuta pa kuvitumia.



Tena atakuwa la saba aliye rudia sana la nne huyo ndo maana ana muandiko mbovu halafu anaanza kukosoa wenzie

Mkuu hakuna mtu yuko sawa sawa kwenye lugha kama sio mtaalamu wa lugha husika

Mkuu huyo atakuwa kafika kidato cha kwanza anajua "summarize"
 
Hata kama Hana pesa Chukua ushauri
 
Mimi nimetusua from managing my parents biz....(mwanzo mshua alikua mkoloni kweli) ila nikatafuta a way ya kutembelea capital yake bila kumtia hasara. I made a living...binafsi im not rich but im okay (reasonable)
Mkuu nimekupata vyema sanaa.Am on my way to apply this technique very soon.Thanks
 
Kevin kuna vitoto huwa na vi ignore tu sihangaiki hata kuvijibu you just leave them... Mambo ni mengi muda hautoshi so kupoteza muda kwa kakijana kasikojielewa unapoteza big time.

Ndo maana hata kwenye kujibu naangalia na mtu wa kumjibu mwingine unajua utoto unamsumbua unaachana naye.

Hata kama Hana pesa Chukua ushauri
 
Naomba na Mimi nichangie ili utusue lazima ujiajiri hata kama bado umeajiriwa kwa sababu ukifanya hivo na una mtaji wako, na biashara utafanikiwa na kuwa na heshima sana na pesa, usifanye mambo ili kufurahisha watu ,kama kutoa pesa, hivyo hivyo, na kumbuka pia kuwasaidia wazaz na familia kuijali pia , na shukurani usisahau uku ukiwa na mipango ya muda mrefu katika maisha.,badilishana na watu wengine mawazo kuhusu unachofanya ambao watakushauri vizuri au waliofanikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…