Gien Banks
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 336
- 887
Mkuu nimekupata vyema sanaa.Am on my way to apply this technique very soon.Thanks
Sawa Bwana Google
Sio Bwana Google.
Watu tupo exposed na vitu vikubwa more than u can imagine. Unajua my ID kwann najiita last name yangu “ Banks “ ?? Unadhani Show Off
Imagine that feeling of making $ 15 Grand in ur mid 20’s
Shaur Lako Mjini Hapa.
Big up Chief...poertymentality ni mbaya sana...sijui nani anadanganya jamii kwamba umasikini ndo kipimo cha udilifu....vipi hiyo 100M bado ipoTatizo kubwa tulilo nalo waswahili wengi ni chuki dhidi ya Matajiri. Mswahili anaweza kutuma text akisambaza kwa watu kuwa John au Juma kafulia huku akifurahia sana.
Haoni madhara ya Juma kufulia huku yeye akiwa ni maskini. Kuwa sasa Juma hatokuwa akinunua bidhaa zake, au hatoweza kumwajiri yeye au ndugu zake. N.k
Wengi tunaamini ukimchukia Tajiri unapata faraja. Nimeona nikiandika uzi nikielezea kauwezo kadogo niliko nako na jinsi watu wanavyonishukia kama mwewe. Wengine wakitaka uthibitisho.mimi sihitaji kutoa uthibitisho ili wewe uamini.
Mimi nlianza kupenda utajiri toka kwa mzee nliona ambavyo alikuwa akitulea watoto wake wawili pasipo shida.akibadilisha magari, akinunua tulicho na alichotaka. Akifungua makampuni na kuzunguka nasi duniani.
I learned a lot. Ndipo nlianza kujiambatanisha na marafik zake baba kiasi kuweza wakati mwngine kumwakilisha.nlimwambia nitatafuta pesa zangu mwenyewe nikishindwa ndo ntarudi anipe mtaji.
Nmefanikiwa. Napata mshahara mkubwa, natumia magari ambayo si haba matumizi ya Range Rover, BMW, Merceded Benz ndizo gari ambazo mzee alikuwa ananambia za kutumia.
Nliwahi uliza mtaji wa Mil 100 tutafanya biashara gani. Watu walinishambulia sana. But binafsi nlitaka nipate mtu mwenye mawazo ambayo sasa ningekaa naye tuyafanyie kazi.watu walitukana na wengine wakaandika kwa kebehi.
Kwa mwenye akili mil 100 ni nyingi sana kwa biashara. Kwa mpumbavu atakwambia hiyo haitoshi kabisa. Sikutaka ugomvi nikaiingiza kwenye mchakato mwingine maisha yakaendelea.
ILI UWE TAJIRI
Kafara unayotakiwa kuitoa ni moja. Ua kiburi, jeuri na ujuvi. Hivyo vitu vipo kwenye mwili mmoja ila ni viungo mbalimbali.
Usituchukie wenye vijicent. Jifunze toka kwetu. Badala ya kukaa majukwaa ya umbea na kufundishana styles za mapenzi kaa na watu wenye chakula ya Ubongo.
Jifunze kwa waliofanikiwa. Usiwachukie. Ni upumbavu kufurahi kuwa sasa bakhresa amefulia au Mengi amefulia. Huo ni wendawazimu.
Kakae miguu pa wenye mafanikio utafanikiwa. Mtoto akinawa vizuri anaweza kula na wakubwa. Trust me.
Sawa naona maneno Mengi
Nakuonyesha tu. We been doing this way too sooner. $15K ni hela ndogo sana ila ndio hvyo.
Real inspired brother .Sio Bwana Google.
Watu tupo exposed na vitu vikubwa more than u can imagine. Unajua my ID kwann najiita last name yangu “ Banks “ ?? Unadhani Show Off
Imagine that feeling of making $ 15 Grand in ur mid 20’s
Shaur Lako Mjini Hapa.
Hahahaha ndio ngozi nyeusi zilivyo!nna rafki yangu mcanada aliniambia mtu mweusi hawezi kamwe kuwa na roho nyeupe.Aiseee watu walisema sana... Mpaka nikaomba mod wauuondoe. Sikuwa nmewafaham vizur watu wa JF. nikaja kugundua ukitaka upate wachangiaji wengi andika mada za kipuuzi tu au za kukata tamaa.. mtu anaandika kuwa sumu gani inaua haraka watu wanamchangia mawazo sana. Au ukiandika jana ume sex na bint mmoja mpaka akakimbia bas wachangiaji watakuja wengi sana.
Waambie jamani kuna pesa nmepata mili 200 nawaza nifanye nini.... Aisee watakutukana sana. Wengine watakwambia kama unazo kweli watumie ... Ukiwaambia jamani nataka nibadilishe gari sasa natumia VW Tourage nataka kununua AUDI SUV au FORD RANGER mnazifaham vipi? Watakujia juu na watataka uwatumie picha n.k why?
Ila uliposema jana umesex mpaka msichana kakimbia hawakusema tutumie picha.yaani wanaamini katika umaskini zaidi kuliko utajiri. Ukisema una siku mbili umelala njaa wanafurahi sana. Uje useme ume enjoy sana msosi serena hotel....unakuwa ugomvi nao...
Real inspired brother .
Kuna kipindi ulikuwa unaulizia vitu fulani kuhusu Car wash .vipi ulifanikiwa kuanza boss.?
Kila la kheri Mkuu..Kuna eneo nilipata maeneo ya sinza na kazi ndio imeanza juzi juzi hapa...ila bado haijachanganya...huu mwezi wa pili sasa.
Bado nataka raia humu tushauriane jinsi ya ku keep clients and customer service et al.
Hahahaha noma sana mkuu, hebu mwaga mbinu ulizotumia kutumia his leverage while mzee ni mkoloni? Maana wazee wetu wa kiafrika wako hivyo, pesa wanayo ila wanatumia kwenye pombe na vimada wa nje, alafu nyie watu wake wa karibu mnabaki mnapambana na hali zenuHahahaha kwann umesema hivyo ??
Unajua nn Joh...haya maisha ni yakutumia sana akili nyingi sanaa kuliko nguvu.
Wewe google kila kitu about “ Leverage “
Utaja jifunza mambo mazito sanaa na at some point utaona anything is possible.
Mzee wangu ni big tym trader ila ni wale wachagga wanakulea kibabe sanaa...nikatafuta a way i cud eat leveraging from his capital.
Hahahaha noma sana mkuu, hebu mwaga mbinu ulizotumia kutumia his leverage while mzee ni mkoloni? Maana wazee wetu wa kiafrika wako hivyo, pesa wanayo ila wanatumia kwenye pombe na vimada wa nje, alafu nyie watu wake wa karibu mnabaki mnapambana na hali zenu
kuzimanage vp tupe mwangaHana hela huyu sound tu. Sijaona anything strong cha kunifungua akili.
Si ungesema neno moja tu kwamba ili ufanikiwe be “ Humble “. Waraka mreeefu wa nn ??
Ili uwe tajiri lazima ujue concept moja inaitwa “ LEVERAGE “
Leverage is doing more with Less..google, read, get the concept and apply it.
Mimi nimetusua from managing my parents biz....(mwanzo mshua alikua mkoloni kweli) ila nikatafuta a way ya kutembelea capital yake bila kumtia hasara. I made a living...binafsi im not rich but im okay (reasonable)
Nmekusoma mkuu.Tatizo kubwa tulilo nalo waswahili wengi ni chuki dhidi ya Matajiri. Mswahili anaweza kutuma text akisambaza kwa watu kuwa John au Juma kafulia huku akifurahia sana.
Haoni madhara ya Juma kufulia huku yeye akiwa ni maskini. Kuwa sasa Juma hatokuwa akinunua bidhaa zake, au hatoweza kumwajiri yeye au ndugu zake. N.k
Wengi tunaamini ukimchukia Tajiri unapata faraja. Nimeona nikiandika uzi nikielezea kauwezo kadogo niliko nako na jinsi watu wanavyonishukia kama mwewe. Wengine wakitaka uthibitisho.mimi sihitaji kutoa uthibitisho ili wewe uamini.
Mimi nlianza kupenda utajiri toka kwa mzee nliona ambavyo alikuwa akitulea watoto wake wawili pasipo shida.akibadilisha magari, akinunua tulicho na alichotaka. Akifungua makampuni na kuzunguka nasi duniani.
I learned a lot. Ndipo nlianza kujiambatanisha na marafik zake baba kiasi kuweza wakati mwngine kumwakilisha.nlimwambia nitatafuta pesa zangu mwenyewe nikishindwa ndo ntarudi anipe mtaji.
Nmefanikiwa. Napata mshahara mkubwa, natumia magari ambayo si haba matumizi ya Range Rover, BMW, Merceded Benz ndizo gari ambazo mzee alikuwa ananambia za kutumia.
Nliwahi uliza mtaji wa Mil 100 tutafanya biashara gani. Watu walinishambulia sana. But binafsi nlitaka nipate mtu mwenye mawazo ambayo sasa ningekaa naye tuyafanyie kazi.watu walitukana na wengine wakaandika kwa kebehi.
Kwa mwenye akili mil 100 ni nyingi sana kwa biashara. Kwa mpumbavu atakwambia hiyo haitoshi kabisa. Sikutaka ugomvi nikaiingiza kwenye mchakato mwingine maisha yakaendelea.
ILI UWE TAJIRI
Kafara unayotakiwa kuitoa ni moja. Ua kiburi, jeuri na ujuvi. Hivyo vitu vipo kwenye mwili mmoja ila ni viungo mbalimbali.
Usituchukie wenye vijicent. Jifunze toka kwetu. Badala ya kukaa majukwaa ya umbea na kufundishana styles za mapenzi kaa na watu wenye chakula ya Ubongo.
Jifunze kwa waliofanikiwa. Usiwachukie. Ni upumbavu kufurahi kuwa sasa bakhresa amefulia au Mengi amefulia. Huo ni wendawazimu.
Kakae miguu pa wenye mafanikio utafanikiwa. Mtoto akinawa vizuri anaweza kula na wakubwa. Trust me.
Nijifunze kutoka kwenu wakati mnawaonea maskini na wake zao mnakula. Ni Matajiri wachache wanaoplay fair huku mtaani, lakini asilimia kubwa ni maumivu tu. Mtu anapesa kidogo anataka abudiwe kama Mungu, ndio maana hamuwezi kupenya kwenye Tundu la Sindano.Tatizo kubwa tulilo nalo waswahili wengi ni chuki dhidi ya Matajiri. Mswahili anaweza kutuma text akisambaza kwa watu kuwa John au Juma kafulia huku akifurahia sana.
Haoni madhara ya Juma kufulia huku yeye akiwa ni maskini. Kuwa sasa Juma hatokuwa akinunua bidhaa zake, au hatoweza kumwajiri yeye au ndugu zake. N.k
Wengi tunaamini ukimchukia Tajiri unapata faraja. Nimeona nikiandika uzi nikielezea kauwezo kadogo niliko nako na jinsi watu wanavyonishukia kama mwewe. Wengine wakitaka uthibitisho.mimi sihitaji kutoa uthibitisho ili wewe uamini.
Mimi nlianza kupenda utajiri toka kwa mzee nliona ambavyo alikuwa akitulea watoto wake wawili pasipo shida.akibadilisha magari, akinunua tulicho na alichotaka. Akifungua makampuni na kuzunguka nasi duniani.
I learned a lot. Ndipo nlianza kujiambatanisha na marafik zake baba kiasi kuweza wakati mwngine kumwakilisha.nlimwambia nitatafuta pesa zangu mwenyewe nikishindwa ndo ntarudi anipe mtaji.
Nmefanikiwa. Napata mshahara mkubwa, natumia magari ambayo si haba matumizi ya Range Rover, BMW, Merceded Benz ndizo gari ambazo mzee alikuwa ananambia za kutumia.
Nliwahi uliza mtaji wa Mil 100 tutafanya biashara gani. Watu walinishambulia sana. But binafsi nlitaka nipate mtu mwenye mawazo ambayo sasa ningekaa naye tuyafanyie kazi.watu walitukana na wengine wakaandika kwa kebehi.
Kwa mwenye akili mil 100 ni nyingi sana kwa biashara. Kwa mpumbavu atakwambia hiyo haitoshi kabisa. Sikutaka ugomvi nikaiingiza kwenye mchakato mwingine maisha yakaendelea.
ILI UWE TAJIRI
Kafara unayotakiwa kuitoa ni moja. Ua kiburi, jeuri na ujuvi. Hivyo vitu vipo kwenye mwili mmoja ila ni viungo mbalimbali.
Usituchukie wenye vijicent. Jifunze toka kwetu. Badala ya kukaa majukwaa ya umbea na kufundishana styles za mapenzi kaa na watu wenye chakula ya Ubongo.
Jifunze kwa waliofanikiwa. Usiwachukie. Ni upumbavu kufurahi kuwa sasa bakhresa amefulia au Mengi amefulia. Huo ni wendawazimu.
Kakae miguu pa wenye mafanikio utafanikiwa. Mtoto akinawa vizuri anaweza kula na wakubwa. Trust me.
ILI UWE TAJIRI
Kafara unayotakiwa kuitoa ni moja. Ua kiburi, jeuri na ujuvi. Hivyo vitu vipo kwenye mwili mmoja ila ni viungo mbalimbali.
Nukuu bora ya siku.Jifunze toka kwetu. Badala ya kukaa majukwaa ya umbea na kufundishana styles za mapenzi kaa na watu wenye chakula ya Ubongo.