Kijana hivi unaanzaje kutongoza Sister "Mtawa wa Kike" huogopi?

Unirehemu Ee Mungu...πŸ™
Kwa jinsi ulivyo mwema....πŸ˜”
Rehema zako zilivyo kuu, ufute makosa yangu mimi Ushimen himself...πŸ₯ƒ
Unioshee kabisa hatia yangu na unitakasie dhambi zangu.....πŸ˜“
Amen...πŸ™
 
Ulimpataje
 
Umenikumbusha Mabibo Hostel kipindi hicho jamaa kampokea sister kutoka Tabora kamzungusha kwenye lodge moja kamlomba siku kama 3 hivi, nilipondeka moyo sana
 
Better to try than to regret for not trying, they are human being with LIBIDO as other do.
They are c
just are eunuch by being forced, let them enjoy life as others do!
 
Dah kuna mmoja nilimkosa ndanda mission

Aloo
 
Umenikumbusha Mabibo Hostel kipindi hicho jamaa kampokea sister kutoka Tabora kamzungusha kwenye lodge moja kamlomba siku kama 3 hivi, nilipondeka moyo sanmk
Naona umetumia kimakonde ambayo moderate hajui
πŸ₯΄πŸ˜πŸ˜
KumlombaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Mnaanza kuvujisha siri sasa nyie wapmbav, mafriji yenu hayagandishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…