Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Unirehemu Ee Mungu...🙏Unaanzaje kwa mfano?
Kuna kijana wa Chuo anagegeda "mtawa" na hili nimejihakikishia mwenyewe, sasa najiuliza vijana hamuogopi?
Hamuoni kama mnawapa dhambi?
Ni kweli masister wa sasahivi ni wadogo halafu ni "pisi kali" hasa hapo RuCu, labda mnaingia vishawishi vya kuwatongoza huko kwenye discussion za magroup.
Ila jaribuni kujizuia.
Kwa jinsi ulivyo mwema....😔
Rehema zako zilivyo kuu, ufute makosa yangu mimi Ushimen himself...🥃
Unioshee kabisa hatia yangu na unitakasie dhambi zangu.....😓
Amen...🙏