Kijana hivi unaanzaje kutongoza Sister "Mtawa wa Kike" huogopi?

Mmmmhh hii chumvi
 
Na kilemba chake anakiacha wapi ?
Huwa havui chochote maana home kwangu nimezungusha ukuta na kuna geti , halafu kupo issolated kidogo na makazi ya watu .

Moto wake hatari mkuu wacha tu hawa watu ni watamu , halafu wakifuatiwa na wasichana wabich kisha ma tom boy .

Maana wooote hao wanavitunza.
 
Respect sana mkuu πŸ˜€ , saivi ndo umetulia na bi mkubwa sasa.

Au huwa unapaembelea?
 
ILI KUJUA KWELI AMEKULA KIAPO INABIDI UMTONGOZE AKIKATAA UTAJUA HUYO NI MTAWA KWELI MBONA WAKE ZETU WANAGONGWA ILI HALI WALIKULA KIAPO KANISANI CHA MUME MMOJA MPAKA KUFA NA KAMA KUNA WANAWAKE DUNIANI WEPESI KUPATIKANA KWANGU NI MASISTA NITASHINDWA KOTE ILA SIYO HAO WAIGIZAJI .
 
Connection zenyewe hamtoi ... Msiongee na mimi
 
[emoji23][emoji23][emoji23] naona we ni mwenyeji yale maeneo usingejua kuwa kipo karibu na uboizoni.

Mkuu pale nilvua kofia daadeki ukicheki mizigo waliyopaki na zile rangi unaweza kuwa chizi.
Uwe unatoa na connection Basi huko motoni unataka ukachomwe peke yako,,? Wengine tupo hapa tunataka tukusupport tukachomwe wote ... Naku pm mwanangu unipe connection πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜
 
Umenkumbusha uzi wa kula tunda kimasihara, kuna mwamba alikula mtawa kiboya sana.
 
Tena wale hua wanahuruma ya roho mtakatifu hata hawajui kuzungusha wala kupiga vizinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…