test man
JF-Expert Member
- Aug 13, 2016
- 1,014
- 955
Anakuja vzr tuHIVI SISTER ANAWEZA KUJA GHETTO KWELI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakuja vzr tuHIVI SISTER ANAWEZA KUJA GHETTO KWELI
Huwa wanatoka kiraia piaHIVI SISTER ANAWEZA KUJA GHETTO KWELI
Mmmmhh hii chumviKuna jamaa yangu alikuwaga anamla Sister mmoja alikuwa mkuu wa nursery school ya watoto wake Ukonga, Sister alikuwa bomba huyo, siku ya kumla Sister alikuwa anadanganya anaenda head office kumbe jamaa anaenda kummaliza. Mie mwenyewe nilipomuona mate yalinitoka.
Huwa havui chochote maana home kwangu nimezungusha ukuta na kuna geti , halafu kupo issolated kidogo na makazi ya watu .Na kilemba chake anakiacha wapi ?
Respect sana mkuu 😀 , saivi ndo umetulia na bi mkubwa sasa.Nishawahi Ishi Hio mitaa nilikuwa nikitoka pori la longido kufanya uwindaji Haramu napanda naelekea pale kuna toto la kimbulu ndo nilikuwa napumzka asubuh naweza kaa wiki naenda twn so nilikuwa nawaona MA sister wakali Sana na ukijitahid kutongoza ukosi pale
Hata dogo nilikuwa nawinda nae niliemuajiri alikuwa ni mwanafunz wa hapo uboyizini anatoroka shule tunakutana nae kweny Noah ni mwendoj
Kweli ujana maji ya moto nikikumbuka nacheka Sana
Dahhhh.....
Umenikumbusha mbali sana mkuu.
Mungu anisamehe sana kwa ile dhambi..😔
Soma michango ya wadau, isitoshe tuko nao kwenye familia na jamii tunaijua mienendo yao, wapo baadhi tumeshare nao 🍆
Niweke au nisiweke
😁😁😁 Haya mambo haya ..afadhali hizi kuta haziongei Daahh ..yaani unamuona mtaani mtu kuwa Ni mtu wa maana kumbe analiwa kisamvu Cha kopo ..ptuuuuuKafanyaje
Uwe unatoa na connection Basi huko motoni unataka ukachomwe peke yako,,? Wengine tupo hapa tunataka tukusupport tukachomwe wote ... Naku pm mwanangu unipe connection 😋😋😁[emoji23][emoji23][emoji23] naona we ni mwenyeji yale maeneo usingejua kuwa kipo karibu na uboizoni.
Mkuu pale nilvua kofia daadeki ukicheki mizigo waliyopaki na zile rangi unaweza kuwa chizi.
Huyu anaonekana RC damuLisemwalo lipo usijitie kichwa ngumu
Hiyo ya kutomtamani Mke asie mke wako mbona nyepesi sana.Unakwama wapi?Kweli kabisa na ya tisa usitaman mwanamke asie mke wako...
Nimejikagua hapa zikifutwa hzo nazama mbinguni chapu tu[emoji16]
Tena wale hua wanahuruma ya roho mtakatifu hata hawajui kuzungusha wala kupiga vizingaUnaanzaje kwa mfano?
Kuna kijana wa Chuo anagegeda "mtawa" na hili nimejihakikishia mwenyewe, sasa najiuliza vijana hamuogopi?
Hamuoni kama mnawapa dhambi?
Ni kweli masister wa sasahivi ni wadogo halafu ni "pisi kali" hasa hapo RuCu, labda mnaingia vishawishi vya kuwatongoza huko kwenye discussion za magroup.
Ila jaribuni kujizuia.
Huyo kana nilionaona picha zake nae ni motoTupeni connection za hii story wakuuView attachment 1650199View attachment 1650200
duh halafu?Nikikumbuka kuna sista tuliosoma nae chuo cha ufundi jamaa yangu siku akaenda kurekebisha umeme kwao bwenini kwa masista akamkuta uchi hajanyoa hata vuzi huyo sista ila jamaa hakushtukiwa