Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
- Thread starter
- #21
Unatumia macho yepi kutazama?Nilikuwa natamani niwe nimeoa kufikia sasa ila kila nayemuona anataka kunipiga..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatumia macho yepi kutazama?Nilikuwa natamani niwe nimeoa kufikia sasa ila kila nayemuona anataka kunipiga..
Umoja ni nguvuKwanini unaamini kila Mtu lazima aoe au aolewe..????
Inategemea unamuoa naniMwaka wa kuoa rafiki angu anasema MKE kamshikia kisu na kuchoma begi la nguo anataka waachane baada ya kuzaa nae watoto wanne...namkumbuka hand someboy enzi hizo bidada anaforce aolewe....akaanza familia mapemaaa hata hakufaidi ujana...hapa Sasa anatakiwa afurahie kukuza watoto...demu anamchania mkeka kisa bodaboda...fully stress
Umoja ni nguvuYaan umeanza vibaya mno yaan mlivoshikilia swala la kuoa na kuolewa puuuh Kwan Kuna ulazima? Kuna adhabu inatolewa
Unataka Range bibie.Nipo kwenye tatu 😅🙈balaa hapo. Sipendi kutembea sipendi. Yani mtu na mpenzi wake mnatembea kwenye tope aibu tupu
97 bado kijana kula maishaYaan umeanza vibaya mno yaan mlivoshikilia swala la kuoa na kuolewa puuuh Kwan Kuna ulazima? Kuna adhabu inatolewa
Ndio 😅Unataka Range bibie.
Uniulize kuishi nae wapi kwani umetoka mbinguni leoUsijenge huyo mke unaenda kuishi nae wapi hii akili gani
Huna akiliUniulize kuishi nae wapi kwani umetoka mbinguni leo
NiniKuchagua🤣🤣🤣Unaishi Tz kweli? Uchague usichague anapita alopangwa.