Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 11,208
- 20,517
Ewe kijana mtafutaji kama huna 40 yrs sio time ya kujipa mastress just work hard and enjoy it to the fullest, maisha ni sasa na sio baadaye ambayo huijui.
Ukizaa zaa kwa mpangilio watoto ambao hawatakupa mastress, sana sana mtoto mmoja wamezidi sanaa wawili.
Tafuta pesa inavyotakiwa kutafutwa na tumia pesa inavyotakiwa kutumiwa, hiyo inatosha katika maisha.
Maisha ni pesa na kufurahi na sio kujibana, maana hakuna anaejua maisha baada ya kifo.
Kibongo bongo ukiweza kumiliki nyumba, gari yako na saving inatosha hiyo change nyingine ni ya kufurahia maisha.
Katika yote pia usisahau kuweka malengo katika maisha ili kesho na keshokutwa usisumbuke kwa mambo madogo madogo.
Kwa wenzetu magharibi kuolewa na kuoa sio big inshu kabisa inshu ni kufurahia maisha tu.
Hata kama wameoana kipaumbele sio watoto bali kufurahi maisha tu maana ukifa habari yako inaishia hapo.
Sio mbaya tukishea ze experience hata yako Vip wewe unafurahia maisha, yangu ntaimwaga soon Bushmamy