Kijana hujafikisha mika 40 furahia maisha kwanza, mengine baadae

Ukiwa na uwezo jijenge haraka biashara zina ushindani mkubwa waweza kuwa nayo Leo kesho ikaondoka

Ajira ndio kabisa teknolojia zinabadilika mifumo hubadilika waweza jikuta kesho kazi huna hata kama ya serikali

Live moderate life ya kawaida u save na uinvest na kuwa na watoto muhimu tena sana na uwajali somesha while hata za kwaida ila uzae.Mtoto mmoja tu hapana yanadeka sana utakuja kufa kwa pressure .Pia mtoto anabidi awe na ndugu zake bwaliozaliwa tumbo moja ukifa awe na ndugu watoto kuanzia watatu kwenda mbele ni vizuri zaidi labda uwe kizazi huna

Ukizeeka huna kitu aisee utakoma ubishi utasumbua ndugu bure
 
Dada angu kwa hii ideology yako nimekupenda bure,mimi nina 50yrs hata mchumba sina na wala sihitaji hayo mavitu
Utaelewa somo mbele ya safari akili yako imechelewa kukomaa sababu ya kuendekeza ujinga uzee ukija usisumbue ndugu zako au watoto wa ndugu kwenda kujiegesha kuwa kuwa wakulee au wakusaidie ukimwa nk wakati umekataa kuzaa na kuolewa

Cha msingi usije sumbua mtu. Mbeleni akikukatalia kukusaidia usinune
 
Una akili za kufikiri?!Hapa Afrika unaweza kuwa na umri wa miaka 50 bila mchumba wala mke wala mtoto kisha uwe na ndugu?Nilishatengwa na ndugu wote siku nyingi sana kutokana na hii ishu ya kukataa hayo mambo,nipo nadunda na shaka sina!
 
Unaongea utafikiri ulijilea mwenyewe

Ulaya wenzio wanalelewa nyumba za wazee na retirement homes Tanzania hakuna hiyo subiri uzeeke uanze kujisaidia hapo hapo ndipo utaelewa maana ya ndugu Afrika au ufikie umri mbao hawawataki MASHIRIKA YA BIMA YA AFYA kukupa bima ya afya ndipo utaelewa.

Mahouse girl na ma house boy Tanzania huwa hawataki kulea vizee viwe vya kiume au vya kike wanasema vina gubu na ukorofi kibao mbeleni somo utalilielewa tu .Utake usitake
 
Kuleni maisha na ma V8.
EkjOyBlX0AEyvSk.jpg
 
Ewe kijana mtafutaji kama huna 40 yrs sio time ya kujipa mastress just work hard and enjoy it to the fullest, maisha ni sasa na sio baadaye ambayo huijui.

Ukizaa zaa kwa mpangilio watoto ambao hawatakupa mastress, sana sana mtoto mmoja wamezidi sanaa wawili.

Tafuta pesa inavyotakiwa kutafutwa na tumia pesa inavyotakiwa kutumiwa, hiyo inatosha katika maisha.

Maisha ni pesa na kufurahi na sio kujibana, maana hakuna anaejua maisha baada ya kifo.

Kibongo bongo ukiweza kumiliki nyumba, gari yako na saving inatosha hiyo change nyingine ni ya kufurahia maisha.

Katika yote pia usisahau kuweka malengo katika maisha ili kesho na keshokutwa usisumbuke kwa mambo madogo madogo.

Kwa wenzetu magharibi kuolewa na kuoa sio big inshu kabisa inshu ni kufurahia maisha tu.
Hata kama wameoana kipaumbele sio watoto bali kufurahi maisha tu maana ukifa habari yako inaishia hapo.

Sio mbaya tukishea ze experience hata yako Vip wewe unafurahia maisha, yangu ntaimwaga soon Bushmamy
money
 
picha ya hao bata[emoji3]
 
Ewe kijana mtafutaji kama huna 40 yrs sio time ya kujipa mastress just work hard and enjoy it to the fullest, maisha ni sasa na sio baadaye ambayo huijui.
Umesema maisha ni sasa na sio baadae ambayo huijui lakini kichwa cha habari cha mada kinasema

"Kijana hujafikisha mika 40 furahia maisha kwanza, mengine baadae"

Sentence yako ya kwanza na mada yako vinapingana.
Yaani maisha ni sasa na sio baadae ambayo huijii lakini umesema enjoy maisha mengine baadae.

Sasa hayo mengine ya baadae utayafanya vipi ni ulishasema kwamba baadae huijui.
Yaani mengine baadae na ulishasema baadae huijui?

Hiyo contradiction yako inaprove kwamba baadae yako unaweza kuishape unavyotaka leo tu na si vinginevyo.

Hivyo nyie vijana kabla hujafikisha 40 hakikisha unajitahidi kufikia malengo yako mapema then hao bata utakula baadae.
Kama umeshindwa kufikia malengo yako sasa hivi basi tegemea ukifika 40 hutofika popote ni sawasawa na kuanza upya huku mwili unaanza kuchoka na kuzeeka eventually unaenda kulelewa na vituo vya kulelea wazee kama huku vipo au ukalelewe na wazee wako wako ambao nao ni wazee kama wewe.
Which is pathetic.

Pia mengi yaliyopo sasa yaani
Umasiki
Ujinga
Ubinafsi nk
Ni sababu ya vizazi vizazi vilivyopita vilifikiria kama nyinyi leo hii.
Sababu walijifikiria wao wenyewe binafsi na si vizazi vijavyo ambavyo ni mimi na wewe.

Ulitakiwa kuwahamasisha hao Vijana watumie akili zao leo hii kutatua changamato zao ili vizazi vijavyo visipitie tunayopitia sasa yaani
Umasikini
Ujinga
Na Ubinafsi.

Hivyo kila mtu atafurahia maisha kwa furaha na kula hao bata.

Panda mahindi utavuna mahindi na si vinginevyo.
Panda mbolea bila ya mbegu utavuna mbolea hiyohiyo.
 
Back
Top Bottom