Imaewezekana unayoiona were bats kwa mwingine sio bats in jambo la kawaida.Taja hip bats in IPI? Kama ni pombe wengine ndio watengenezaji.Kama wanawake wengine wanamiliki madanguro, Massage center nk.kama chakula wengine ndio wanakitengeneza sasa hio bata ni ipi labda.Ewe kijana mtafutaji kama huna 40 yrs sio time ya kujipa mastress just work hard and enjoy it to the fullest, maisha ni sasa na sio baadaye ambayo huijui.
Ukizaa zaa kwa mpangilio watoto ambao hawatakupa mastress, sana sana mtoto mmoja wamezidi sanaa wawili.
Tafuta pesa inavyotakiwa kutafutwa na tumia pesa inavyotakiwa kutumiwa, hiyo inatosha katika maisha.
Maisha ni pesa na kufurahi na sio kujibana, maana hakuna anaejua maisha baada ya kifo.
Kibongo bongo ukiweza kumiliki nyumba, gari yako na saving inatosha hiyo change nyingine ni ya kufurahia maisha.
Katika yote pia usisahau kuweka malengo katika maisha ili kesho na keshokutwa usisumbuke kwa mambo madogo madogo.
Kwa wenzetu magharibi kuolewa na kuoa sio big inshu kabisa inshu ni kufurahia maisha tu.
Hata kama wameoana kipaumbele sio watoto bali kufurahi maisha tu maana ukifa habari yako inaishia hapo.
Sio mbaya tukishea ze experience hata yako Vip wewe unafurahia maisha, yangu ntaimwaga soon Bushmamy
Yup huyo, sauti ya zege au yule aliemvunja mumewe mkono?, katoka selo tayari.Babe, kuna yule rafikiyako ndio hua namkumbuka kila wakati....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo pombe wanatengeneza wanywe wenyewe au? Na hayo madanguro ni kwa ajili ya nani?Imaewezekana unayoiona were bats kwa mwingine sio bats in jambo la kawaida.Taja hip bats in IPI? Kama ni pombe wengine ndio watengenezaji.Kama wanawake wengine wanamiliki madanguro, Massage center nk.kama chakula wengine ndio wanakitengeneza sasa hio bata ni ipi labda.
Toba.....[emoji134][emoji134]Yup huyo, sauti ya zege au yule aliemvunja mumewe mkono?, katoka selo tayari.
Tikikaa watatu mezani hakuna mwanaume anasogea hiyo meza, maana tushajitoaga mhanga[emoji3][emoji3][emoji3]
Plus kisukari na BP ndio vinakunyemeleaKibongo bongo wengi wakifika 40 years ndio wanaanza kuwa financially stable!
kuzichenjua pisi muhim mi kuanzia alhamis hadi jumamosi utanikuta kidimbwi au elements masaki nachenjua pisi mpya kaliKtk kula bata mademu wanahusika?