Utaelewa somo mbele ya safari akili yako imechelewa kukomaa sababu ya kuendekeza ujinga uzee ukija usisumbue ndugu zako au watoto wa ndugu kwenda kujiegesha kuwa kuwa wakulee au wakusaidie ukimwa nk wakati umekataa kuzaa na kuolewaDada angu kwa hii ideology yako nimekupenda bure,mimi nina 50yrs hata mchumba sina na wala sihitaji hayo mavitu
Una akili za kufikiri?!Hapa Afrika unaweza kuwa na umri wa miaka 50 bila mchumba wala mke wala mtoto kisha uwe na ndugu?Nilishatengwa na ndugu wote siku nyingi sana kutokana na hii ishu ya kukataa hayo mambo,nipo nadunda na shaka sina!Utaelewa somo mbele ya safari akili yako imechelewa kukomaa sababu ya kuendekeza ujinga uzee ukija usisumbue ndugu zako au watoto wa ndugu kwenda kujiegesha kuwa kuwa wakulee au wakusaidie ukimwa nk wakati umekataa kuzaa na kuolewa
Cha msingi usije sumbua mtu. Mbeleni akikukatalia kukusaidia usinune
Unaongea utafikiri ulijilea mwenyeweUna akili za kufikiri?!Hapa Afrika unaweza kuwa na umri wa miaka 50 bila mchumba wala mke wala mtoto kisha uwe na ndugu?Nilishatengwa na ndugu wote siku nyingi sana kutokana na hii ishu ya kukataa hayo mambo,nipo nadunda na shaka sina!
Kuleni maisha na ma V8.Unaongea utafikiri ulijilea mwenyewe
Ulaya wenzio wanalelewa nyumba za wazee na retirement homes Tanzania hakuna hiyo subiri uzeeke uanze kujisaidia hapo hapo ndipo utaelewa maana ya ndugu Afrika au ufikie umri mbao hawawataki MASHIRIKA YA BIMA YA AFYA kukupa bima ya afya ndipo utaelewa.
Mahouse girl na ma house boy Tanzania huwa hawataki kulea vizee viwe vya kiume au vya kike wanasema vina gubu na ukorofi kibao mbeleni somo utalilielewa tu .Utake usitake
Plus kisukari na BP ndio vinakunyemelea
Naona umeangalia kwa aina ya maisha ya mjini pekee, na sio hata interior huko
moneyEwe kijana mtafutaji kama huna 40 yrs sio time ya kujipa mastress just work hard and enjoy it to the fullest, maisha ni sasa na sio baadaye ambayo huijui.
Ukizaa zaa kwa mpangilio watoto ambao hawatakupa mastress, sana sana mtoto mmoja wamezidi sanaa wawili.
Tafuta pesa inavyotakiwa kutafutwa na tumia pesa inavyotakiwa kutumiwa, hiyo inatosha katika maisha.
Maisha ni pesa na kufurahi na sio kujibana, maana hakuna anaejua maisha baada ya kifo.
Kibongo bongo ukiweza kumiliki nyumba, gari yako na saving inatosha hiyo change nyingine ni ya kufurahia maisha.
Katika yote pia usisahau kuweka malengo katika maisha ili kesho na keshokutwa usisumbuke kwa mambo madogo madogo.
Kwa wenzetu magharibi kuolewa na kuoa sio big inshu kabisa inshu ni kufurahia maisha tu.
Hata kama wameoana kipaumbele sio watoto bali kufurahi maisha tu maana ukifa habari yako inaishia hapo.
Sio mbaya tukishea ze experience hata yako Vip wewe unafurahia maisha, yangu ntaimwaga soon Bushmamy
picha ya hao bata[emoji3]Ewe kijana mtafutaji kama huna 40 yrs sio time ya kujipa mastress just work hard and enjoy it to the fullest, maisha ni sasa na sio baadaye ambayo huijui.
Ukizaa zaa kwa mpangilio watoto ambao hawatakupa mastress, sana sana mtoto mmoja wamezidi sanaa wawili.
Tafuta pesa inavyotakiwa kutafutwa na tumia pesa inavyotakiwa kutumiwa, hiyo inatosha katika maisha.
Maisha ni pesa na kufurahi na sio kujibana, maana hakuna anaejua maisha baada ya kifo.
Kibongo bongo ukiweza kumiliki nyumba, gari yako na saving inatosha hiyo change nyingine ni ya kufurahia maisha.
Katika yote pia usisahau kuweka malengo katika maisha ili kesho na keshokutwa usisumbuke kwa mambo madogo madogo.
Kwa wenzetu magharibi kuolewa na kuoa sio big inshu kabisa inshu ni kufurahia maisha tu.
Hata kama wameoana kipaumbele sio watoto bali kufurahi maisha tu maana ukifa habari yako inaishia hapo.
Sio mbaya tukishea ze experience hata yako Vip wewe unafurahia maisha, yangu ntaimwaga soon Bushmamy
Umesema maisha ni sasa na sio baadae ambayo huijui lakini kichwa cha habari cha mada kinasemaEwe kijana mtafutaji kama huna 40 yrs sio time ya kujipa mastress just work hard and enjoy it to the fullest, maisha ni sasa na sio baadaye ambayo huijui.