Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Kila unapo kuja mjini bila konekisheni kutoboa sio rahisi wengi walio kuja miaka ya 2000 bila wenyeji wanao eleweka bado wako ubungo wengine mbezi magufuli wana sukuma turoli wengine wana uza maji wagine wapiga debe, maisha yanahitaji msaada ya mtu alio toboa, ni wachache wanao fanikiwa bila msaada wa ndgu jamaa au rafiki.Kuna mda huwa nawaza naishia kucheka tu [emoji3][emoji3][emoji3], ivi mtu una miaka zaidi ya saba wewe unauzaga popcorn tu, wengine wanatembeza Maji barabarani nusra wagongwe na magari Kwa faida ya elfu tano kwa siku.
Mtaji ni changamoto lakini ebu sisi kama vijana tujitahidi kusave kidogo kidogo ili tutoke huko kwenye uchuuzi wa hand to mouth, upo Dar miaka zaidi ya kumi hutaki kurudi kwenu afu biashara yenyewe unauza mahindi ya kuchoma vyombo Dovya. Huna akili.
Unataka nani auze popcorn, wazee?Kuna mda huwa nawaza naishia kucheka tu [emoji3][emoji3][emoji3], ivi mtu una miaka zaidi ya saba wewe unauzaga popcorn tu, wengine wanatembeza Maji barabarani nusra wagongwe na magari Kwa faida ya elfu tano kwa siku.
Mtaji ni changamoto lakini ebu sisi kama vijana tujitahidi kusave kidogo kidogo ili tutoke huko kwenye uchuuzi wa hand to mouth, upo Dar miaka zaidi ya kumi hutaki kurudi kwenu afu biashara yenyewe unauza mahindi ya kuchoma vyombo Dovya. Huna akili.
Tatizo hao vijana hawana nidhamu wana dharau wengine wana roho mbaya ukimsaidia akifanikiwa anaanza kukusema vibaya sana wengine anatamani kukuroga urudi uliko tokea, bora kuwaacha waendelee kuuza popcorn na maji barabarani.Tatixo kila aliyetoboa anajifanya katoboa kama jeshi la mtu mmoja wakat ni kinyume..
Kama alivosema myu hapo juu kutoboa bila msada wa waliotoboa ni ngumu..
La sivyo ndio utabaki hvo umeoanga room moja na subwoofer miaka inaenda
Huu ni ukweli mchunguKuna mda huwa nawaza naishia kucheka tu [emoji3][emoji3][emoji3], ivi mtu una miaka zaidi ya saba wewe unauzaga popcorn tu, wengine wanatembeza Maji barabarani nusra wagongwe na magari Kwa faida ya elfu tano kwa siku.
Mtaji ni changamoto lakini ebu sisi kama vijana tujitahidi kusave kidogo kidogo ili tutoke huko kwenye uchuuzi wa hand to mouth, upo Dar miaka zaidi ya kumi hutaki kurudi kwenu afu biashara yenyewe unauza mahindi ya kuchoma vyombo Dovya. Huna akili.
Hana koneksheni huyu ye mwenyewe anakujaga na nyuzi za kulilia umasikini hadi anakosa maneno ya kuandika.....huu uzi ni wa kutolea stress tu, endelea kupambana.Connection hamtoi na mnaona bora mfe nazo tukiuza Maji bara barani mnatucheka kwamba hatutoboi daah...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Karibu Windhoek huku kawaha dollar moja[emoji1787][emoji1787]we jamaa jau
vyombo dovya ndo nini...? tuletee zabibu tuuze labda tutatajirika
hatufanani mpwayungu na haitatokea tunafanana mtu yupo USA na ni kinyozi mdogo miaka na miaka kila mtu anamalengo yake wengine malengo yao ni kuwa tu na amani ya moyo basi..Kuna mda huwa nawaza naishia kucheka tu [emoji3][emoji3][emoji3], ivi mtu una miaka zaidi ya saba wewe unauzaga popcorn tu, wengine wanatembeza Maji barabarani nusra wagongwe na magari Kwa faida ya elfu tano kwa siku.
Mtaji ni changamoto lakini ebu sisi kama vijana tujitahidi kusave kidogo kidogo ili tutoke huko kwenye uchuuzi wa hand to mouth, upo Dar miaka zaidi ya kumi hutaki kurudi kwenu afu biashara yenyewe unauza mahindi ya kuchoma vyombo Dovya. Huna akili.
ishu ni mipango thabiti ya maisha hasa kupunguza sana matumizi yasiyo ya lazima!Kila unapo kuja mjini bila konekisheni kutoboa sio rahisi wengi walio kuja miaka ya 2000 bila wenyeji wanao eleweka bado wako ubungo wengine mbezi magufuli wana sukuma turoli wengine wana uza maji wagine wapiga debe, maisha yanahitaji msaada ya mtu alio toboa, ni wachache wanao fanikiwa bila msaada wa ndgu jamaa au rafiki.
Bro! Maisha ni magumu Sana kijijini,Kuna mda huwa nawaza naishia kucheka tu [emoji3][emoji3][emoji3], ivi mtu una miaka zaidi ya saba wewe unauzaga popcorn tu, wengine wanatembeza Maji barabarani nusra wagongwe na magari Kwa faida ya elfu tano kwa siku.
Mtaji ni changamoto lakini ebu sisi kama vijana tujitahidi kusave kidogo kidogo ili tutoke huko kwenye uchuuzi wa hand to mouth, upo Dar miaka zaidi ya kumi hutaki kurudi kwenu afu biashara yenyewe unauza mahindi ya kuchoma vyombo Dovya. Huna akili.
Ni balaa kwa kweliConnection hamtoi na mnaona bora mfe nazo tukiuza Maji bara barani mnatucheka kwamba hatutoboi daah...